Mapumziko Arsenal 1 Crystal Palace 1
Kwa kweli goli lilisababishwa na Laurent Koscielny na ni yeye mwenyewe amesawazisha.
Kwa kweli timu inakwenda mapumziko lakini mzee Wenger ambadilishe Yaya Sanogo na aingie angalau Joel Campbel kule mbele na baadae Olivier Giroud.
Hii game ni rahisi sana kushinda na tunahitaji mmaliziaji mzuri, itakuwaje tufungwe na timu ambayo haina meneja?