angalia kwa column ya arsenal utaona rangi ni orange sio red,ukiangalia kwa column ya man utd utaona wameweka red,maana yake ni kwamba arsenal anapocheza na man utd kwake ni medium hard kwa vile sisi ni wanyela tupo nafasi ya saba,ila sisi tunapocheza na arsenal kwetu ni hard kwa vile wao wako kileleni......HAKIKA HUKU NI KUDHALILIKA!
OOooooops BTW huu mtanange kesho ratiba zimekaa kushoto kidogo hivyo mambo yote baada ya midnight kwa saa za bongo, Alaska kama kawa ... .... ..... .. naona washabiki koko wa Manure wanavuta viti chijui nani kawaalika .... .... wao wachubiri zamu yao Wedn ... .. .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeewazee wa 7th .... ... .