Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal top the table by five points or more for the first time since February 2008 - when they led Manchester United by five points following their 2-0 home win v Blackburn.
What happened that season? Er, United won the league and Arsenal were third...

source: bbc.com
 
.....under FERGUSON!
 
Hongereni Arsenal wote matunda aliyofuga wenger sasa yanaonekana I hope Rogers atafata Mfano Mzuri, ila dah goli la Ramsey sitokuja kulitizama mpaka msimu uishe dah :frusty::frusty::frusty: Aaron Ramsey for PFA!
Lol. Rogers ajifunze jinsi ya kubadili tactics kwa mtizamo wangu vipindi vyote mmecheza style ile ile moja hamkuwa na tempo ambayo ingewafanya Arsenal kubabaika nyuma. Hadi tulipowafunga la pili ndo mkamuingiza Moses mwenye speed. Anyway, the great win for Gunners
 
Suarez my foot... hamna cha Suarez kontinyoo wala staredge Ni dozing tuu... salamu kwa mamani yuu.... wajiandae NA dozing pale pale kwao
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha
Naona Arsenal bado hawajakutana na timu kubwa hahahahahahhahaha.
 
Maajabu ni kwamba Wacha1 akifungwa ndio anakuwepo hapa kujibu wanamuvamia lol ila wakishinda simuoni hehehe Pengine akija hapa atasema alikuwa uwanjani game Kuisha kaenda kumpa Aaron Ramsey zawadi ya M.O.M ya Arsenal jamiiforum thred lol tunasubiri picha sake sababu wale wapinzani wa 8th hawatuletei picha.
 










Wakuu wa
Gunners hongereni mmeona kazi inayofanyika pale Colney vijana walikuwa kama wako mazoezini vile ... . ..... ..... . ..... baadaye kidogo basi mambo yote yatakuwa hapa kama kawa ..... ....... ... ... naona mburukenge wote wameunyuti khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee safi sana.
 
Hahahaha eti wapinzani wa 8th
 
It was a Fantanstic game sio siri.


"COME ON YOU GUNNERS"
hahahahahahahahaha.
 
at last naingia nyumban kwangu nakutana na habar zenye bakshishi....3 pts yesterday, 5 clear pts top of the league

Ozil amesema timu ina speed ya Formula 1 nadhani hajakosea,naona kupanga ni kuchagua Chelsea kaingia Robo fainali ya Capital One leo kapoteza Points 3 Muhimu kwenye Premier League,Wenger yeye ameona atolewe Capital One ili ajiimarishe kileleni mwa Premier League sidhani kama kuna ubaya
 
#Mburukenge kimyaaaaaaaaa....

Walete hao Dortmund na Man Utd...
hongereni Rubaman,Balantanda,Viper, na Wacha1 na Bak na Gunners wote. YNWA! Vipi wale 8th wamekuja kuwapa hongera ? Jamiiforum raha utani wa Humu ingekuwa watu wanakutana wote tungengoa viti vya jamiiforum na ngumi raha sana. Wasioweza utani utawaona huwaoni mpaka timu Yao ishinde ndomana hongera kutoa hawawezi.
 







Laurent Koscielny gets his tackle in at the last moment
to deny Luis Suarez



Sliding challenge - Ramsey manages to take the ball
off Jordan Henderson







Arms outstretched - Wojciech Szczesny spreads himself
to deny Sturridge






Causing trouble - Suarez and Bacary Sagna
have a disagreement late on




Battle of the Brits - Gerrard goes in hard on Ramsey






Brave men: Liverpool's Mamadou Sakho
challenges for the ball with Sagna






Tomas Rosicky tries to play the ball up the line
under pressure from Martin Skrtel

 


Wakuu next game Borrussia Dortmund CL J5 ...... ..... ... mechi ya kukata na shoka hiyo .... .... .... . wataendelea kuchungulia tu kwa Wivu wa kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…