Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dash....Wilshere anakosa goli la wazi....Kona

Giroud anaokoa....lol
 
We acha tu january inabidi kupata mabeki wapya

Arseno Chenga aliwajambisha na Ozil, basi wote mkaruka na kusahau matatizo ya msingi yanayoikabili timu.

Ozil ni kila kitu: kipa, beki, kiungo na mshambuliaji. Hivyo tulieni tu, le profeseli Chenga ashasema hasiposhinda taji lolote (sijui alijumulisha na Capital One Cup?!?) hatajiuzulu.
 
Dakika ya 35

Per

Arsenal 2-1 Stoke

What a header...Corner from Ozil
 
Mpira dakika 90 chifu...

Ozil katengeneza goli la kwanza...Na la 2....

Giroud kakosa la 3....

Mtachonga saaaaana msimu huu....
 
Mpira dakika 90 chifu...

Ozil katengeneza goli la kwanza...Na la 2....

Giroud kakosa la 3....

Mtachonga saaaaana msimu huu....

Sawa. Ukweli mnaufahamu na mshausema sana humu. Lakini leo mnajifanya vipofu.

Sawa. Tuombe uzima tu chifu. Mei mwakani, mbabe atafahamika tu.
 
Sawa. Ukweli mnaufahamu na mshausema sana humu. Lakini leo mnajifanya vipofu.

Sawa. Tuombe uzima tu chifu. Mei mwakani, mbabe atafahamika tu.

Ukwelo upi tena Chifu?.....Najua tatizo no Ozil kuwa Arsenal.....Watu wanaumiaaa

Hebu wastue wenzio muende kwenye jukwaa lenu muanze kuitafakari game na City ya baadae.....Hapa mumuachie Ngoswe ya kwake Chifu....

Kila la heri...
 
Pesa huwa haina ubabaishaji.Somo kwa Wenger na asipojifunza basi hajifunzi tena. Ozil si mchezo.
 
Dakika ya 40

Arsenal 2-1 Stoke
Iam happy going to half time with the lead. By the way hili tangazo la supersport 'the boss' linanikosha kuanzia pale kwa the special one for the fina push, prof wenger na chuma ya maji na kumaluzia na SAF na air drier
 
Ukwelo upi tena Chifu?.....Najua tatizo no Ozil kuwa Arsenal.....Watu wanaumiaaa

Hebu wastue wenzio muende kwenye jukwaa lenu muanze kuitafakari game na City ya baadae.....Hapa mumuachie Ngoswe ya kwake Chifu....

Kila la heri...
Huyu achana naye mkuu....anatupotezea muda tu kwenye jukwaa letu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…