Hawa majeruhi vipi wakuu,mbona wazidi ongezeka tuuuu
mmh naona inakaribia kuwa eleven! Hii si habari njema kabisa!! tuombe yasiwe long term!!
nivizuri kuendelea kumpa mda mannone kwa vile yuko kwenye form sio.almunia tutampa mechi ya carling against liverpool hili arudishe akili kwenye mpira.ni kipindi kirefu kidogo.Jamani M. Almunia ndio kusema kanyang'anywa namba? Ingawa jamaa katoka kwenye umajeruhi. Naona leo yupo benchi
Tunaongoza kwa magoli mawili tayri,mpaka sasa matokeo ni 2-0(Van Persie dk 16 na Diaby dk 18)
Kaka unaangalizia website gani maana yangu http://www.magedtv.net/ch2.html inakata, na sasa imeninunia
Arsenal TV Online(ATVO)
jaribu www.atdhe.net hiko clear sana na hainsasi hata kidogo.Kaka unaangalizia website gani maana yangu http://www.magedtv.net/ch2.html inakata, na sasa imeninunia
mkuu hupo ? hapo mpaka hawe member mie niliachana nao jamaa hao sema naona msimu huu wanaonesha mechi nyingi.
mkuu hupo ? hapo mpaka hawe member mie niliachana nao jamaa hao sema naona msimu huu wanaonesha mechi nyingi.
naona nitawalipa manake wakati hule nilivyokuwa nao kulia na games chache sana.tuombe tupate goli la tatu manake hapa roho juu.Nipo mkuu nawaangalia vijana...Mimi ni member mkuu,ni kweli msimu huu jamaa waonesha mechi nyingi
safi sana .unaonaje kuhusu mannone tuendelee kumuachia golini au? manake anatusaidia sana i hope wenger ataendelea nae.Goli zuri sana hilo mkuu...Uhakika wa ushindi tunao sasa
ha ha ha mkuu ujafa ujaumbika lol tuendelee kumuomba dua tu tutafika.mie nishaacha kutazama Arsenal...wananiudhi mtu kila kukicha tunashinda migoli kama utitiri vile
ahhh mie naangalia Cricket maana haya mamabo ya kushinda kila kukicha nshachoka mie.
Yaani hata droo hatutoki
arrrgh