Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Canaries wanakaza mbaya.... Ili kuwa kwenye mazingira mazuri kwene League hii game ni Must WIN.....
 
hawa watoto wamepak aisee yan creatvty ya nguv inahitajka kuwachapa
 
Dakika moja ya nyongeza

Vijana wanapaki basi sijapata kuona......Wanashambulia pia
 
Is corner Kick not a scoring chance???? What the Hell???
 
i'd like 2 c jack on yan hicho ki2 nakisubr kishenz i micd the guy so much on ptch
 
Dakika moja ya nyongeza

Vijana wanapaki basi sijapata kuona......Wanashambulia pia

nimeipenda style yao, wanakaba kwa nidhamu ya hali juu na wanashambulia kwa nidhamu pia, kama wataendalea hivi kwa half ya pili wanaweza kuondoka na point zao 3
 
kati hawaelewani na bado hawajafunguwa hakuna creative kule mbele Ramsey anaonekana kama anacheza vizuri lakini anachelewesha kidogo hapeleki mbele timu kunahitajika counter attack ya haraka wanajuwa kuwa Arsenal ukiwaacha kati ndio imekula sasa wanaharibu kati pia wajaribu shuti za mbali najuwa Coach hataka mashuti ya mbali,
Timu itabadilika second half
 
Tukitulia tutarudi kwenye hii game na kuweza kujichukulia 3 points..lakini ni muhimu sana kuhakikisha hatupigwi bao lingine.
 
nmeangalia revise angle ya gol pale mabek hawakuzembea walikuw wanataka holt awe off side kama angepacwa bt ndo vle jamaa alishoot instead of pacng the ball na kitendo cha mannone kutema mpira kilifuta off side so no body z 2 b blamed on dfenc
 
Wenger toa Gervinho na Ramsey ingiza Wilshere na Oxlade Chamberlain
 
nmeangalia revise angle ya gol pale mabek hawakuzembea walikuw wanataka holt awe off side kama angepacwa bt ndo vle jamaa alishoot instead of pacng the ball na kitendo cha mannone kutema mpira kilifuta off side so no body z 2 b blamed on dfenc
Kutaka Holt awe offside ilhali hawana mbio ndio uzembe wenyewe huo mkuu.......Kwa nini wacheze mbinu ya kuvizia offside?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…