Sikupanga kukatisha mtaa huu leo, lakini sina jinsi, just saying kwa team hii ni vema mkakazana kukusanya vijipoint kabla jua halijakolea...coming to jan, feb na march, injuries, games fatique, mbona mtatafutana, hakyanan tena.
Kwa maneno mawili tu; your team lacks maturity.