Hiki ndicho kinachofanya Arsenal kikose makombe kwa kipindi cha miaka saba, wachezaji hufanya matukio ya kizembe huku wakiwa na uwezo mkubwa sana! Kuna dalili za kupoteza huu mchezo
[TABLE="width: 295"]
[TR]
[TD]59' [/TD]
[TD="align: center"] [/TD]
[TD]Arsenal FC are coming forward and Aaron Ramsey gets in a strike, it misses the target, however[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwa sababu Vermaelen na Koscielny ni wazuri, Verma tunaujua uwezo wake na Koscielny alicheza vizuri sana katika mchezo uliopita, kuna kazi kubwa sana kwa walimu kuchagua mmoja wa kumuingiza uwanjani. Ninachoona hapa labda game tu kukataa kwa leo.
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 15, align: right"][/TD]
[TD="align: left"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]