Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyo endela kule Champions league
by the way Ukumbi huuu tunaweza kuruhusu clabu moja kuwa discussed nayo ni WESTHAM UNITED kutokana na uhusiano mzuri ambao vijana wengi wenye Asili ya Tanzania wanvyonufaika na Academy hapo Upton Park
I hope itabidi achaguliwe moderator wa hii forum maana najua majitu ta TOTTENHAM na MAN U watatuvamia humu for a start lets discuss CHAMPIONS LEAGUE