Yusuph Issa
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 528
- 82
habari zenu wanajf i hope mko poa jana ilikuwa j/mosi but haikukaa vizuri kwa baadhi yetu coz EPL (ENGLISH PREMIER LEAGUE) ilikuwa inaaanza kwa ARSENAL kupokea kipigo cha goli 3-1 kutoka kwa ASTON VILLA nachukua nafasi hii kuwapa moyo all fans wa arsenal!!!!!!!!!