Arnold schwarzenegger ndani ya 'terminator' 5

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,069
Reaction score
34,839
[h=3]ARNOLD SCHWARZENEGGER NDANI YA 'TERMINATOR' 5[/h]


Baada ya kukaa kimya kwa kipindi cha muda mrefu ,muigizaji mkongwe wa filamu maarufu za action Arnold Schwarzenegger, ameamua kurejea upya katika ulingo huo huku 'Terminator 5' ikitegemewa kurekodiwa mwezi January mwaka ujao.

Hii itakuwa ni mara ya 4 kwa mcheza filamu huyo kushiriki katika movie hiyo baada ya kushindwa kushiriki katika Terminator 4 kutokana na majukumu ya u-Governor wa Califolirnia wakati inatengenezwa

PRO-24




ARNOLD SCHWARZENEGGER NDANI YA 'TERMINATOR' 5 - MPEKUZI HURU
 
Mwenye link ya terminator 4 atujuze jamani. Wengine tupo pembeni kabisa ya dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…