Kama unavyojua hii depo ni maalum kwa ajili ya wale watoto 5000 waliotoka form 6 juzijuzi pamoja na form 4 na darasa la 7 wachache walioanzia huku kwenye level za Kata na Vitongoja lakini watu wenye Bachelor degrees pia wapo kadhaa ndugu yangu ila haikutangazwa popote hao ni wale wenye connection za wakubwa, JWTZ direct professionals recruiting hamna tena, ni hawa hawa wa kutoka JKT tu! (Except Madaktari TU)
So kama wewe sio daktari na unataka JWTZ na una degree unasubiri watangaze nafasi za professionals mwaka huu halaf hii depo ya JKT umekosa ni sawa na umekosa JWTZ kwa 90% ingawa nchi hii lolote linawezekana maana Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!