am not kidding dude!!
yani system imekuwa set according to standing debts alizo nazo mwanafunzi. kama huna deni kwa huo mwaka utayaona matokeo na kama unalo huwez kuyaona.
huu ni utaratibu wa siku nyingi toka chuo kilipo introduce cost sharing na has pale ambapo ada wanafunzi wanakopeshwa nusu nusu kinyume na enzi zile ambazo wanafunzi walikuwa wanalipiwa ada yote