K kuzou JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 200 Reaction score 57 Jan 2, 2012 #1 HUYu waziri mkuu wa zamani wa israel toka nisikie anapumulia mashine na kuuacha uwaziri mkuu kwa naibu wake olmert sijasikia kafa au mzima,nijulisheni
HUYu waziri mkuu wa zamani wa israel toka nisikie anapumulia mashine na kuuacha uwaziri mkuu kwa naibu wake olmert sijasikia kafa au mzima,nijulisheni
J Jasusi JF-Expert Member Joined May 5, 2006 Posts 11,562 Reaction score 5,525 Jan 2, 2012 #2 Bado anapumulia mashini. Malipo ni hapa hapa duniani. Ukatili aliowafanyia Wapalestina katika kambi za Shatila ulimwengu hautasahau.
Bado anapumulia mashini. Malipo ni hapa hapa duniani. Ukatili aliowafanyia Wapalestina katika kambi za Shatila ulimwengu hautasahau.
NdasheneMbandu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 940 Reaction score 308 Jan 2, 2012 #3 Jasusi said: Bado anapumulia mashini. Malipo ni hapa hapa duniani. Ukatili aliowafanyia Wapalestina katika kambi za Shatila ulimwengu hautasahau. Click to expand... Una uhakika na unachosema?
Jasusi said: Bado anapumulia mashini. Malipo ni hapa hapa duniani. Ukatili aliowafanyia Wapalestina katika kambi za Shatila ulimwengu hautasahau. Click to expand... Una uhakika na unachosema?
Kimbunga Platinum Member Joined Oct 4, 2007 Posts 14,953 Reaction score 10,037 Jan 2, 2012 #4 NdasheneMbandu said: Una uhakika na unachosema? Click to expand... Mkuu unadhani huyu mwamba yupo wapi? Waisrael walimshughulikia baada ya kusitisha ujenzi wa makazi ya walowezi kwenye eneo la Wapalestina.
NdasheneMbandu said: Una uhakika na unachosema? Click to expand... Mkuu unadhani huyu mwamba yupo wapi? Waisrael walimshughulikia baada ya kusitisha ujenzi wa makazi ya walowezi kwenye eneo la Wapalestina.
menyidyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 1,339 Reaction score 194 Jan 2, 2012 #5 Kimbunga said: Mkuu unadhani huyu mwamba yupo wapi? Waisrael walimshughulikia baada ya kusitisha ujenzi wa makazi ya walowezi kwenye eneo la Wapalestina. Click to expand... yupo. alitolewa hospital. sasa anahudumiwa nyumbani.
Kimbunga said: Mkuu unadhani huyu mwamba yupo wapi? Waisrael walimshughulikia baada ya kusitisha ujenzi wa makazi ya walowezi kwenye eneo la Wapalestina. Click to expand... yupo. alitolewa hospital. sasa anahudumiwa nyumbani.
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,730 Jan 2, 2012 #6 Bado anapumulia machine bhanaa hivi ni usishi au? Kwanini hawazimi hizo mashine akarest in pis long time asee umri wa mtu kabisa
Bado anapumulia machine bhanaa hivi ni usishi au? Kwanini hawazimi hizo mashine akarest in pis long time asee umri wa mtu kabisa
Safety last JF-Expert Member Joined Mar 24, 2011 Posts 4,242 Reaction score 1,429 Jan 2, 2012 #7 Huyo ni jembe kule israel
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,787 Jan 3, 2012 #8 NdasheneMbandu said: Una uhakika na unachosema? Click to expand... Wewe una uhakika na unachokiuliza kwamba hakina hakika ?
NdasheneMbandu said: Una uhakika na unachosema? Click to expand... Wewe una uhakika na unachokiuliza kwamba hakina hakika ?
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,787 Jan 3, 2012 #9 Safety last said: Huyo ni jembe kule israel Click to expand... Jembe ! Etiee! Si ajijembishe means atumie jembe atoke kunako kupumulia mashine ? Au jembe hufikia kua expired ?
Safety last said: Huyo ni jembe kule israel Click to expand... Jembe ! Etiee! Si ajijembishe means atumie jembe atoke kunako kupumulia mashine ? Au jembe hufikia kua expired ?