Ariel sharoon | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ariel sharoon

Discussion in 'International Forum' started by kuzou, Jan 2, 2012.

 1. k

  kuzou JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  HUYu waziri mkuu wa zamani wa israel toka nisikie anapumulia mashine na kuuacha uwaziri mkuu kwa naibu wake olmert sijasikia kafa au mzima,nijulisheni
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Bado anapumulia mashini. Malipo ni hapa hapa duniani. Ukatili aliowafanyia Wapalestina katika kambi za Shatila ulimwengu hautasahau.
   
 3. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Una uhakika na unachosema?
   
 4. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,814
  Trophy Points: 280
  Mkuu unadhani huyu mwamba yupo wapi? Waisrael walimshughulikia baada ya kusitisha ujenzi wa makazi ya walowezi kwenye eneo la Wapalestina.
   
 5. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  yupo. alitolewa hospital. sasa anahudumiwa nyumbani.
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,386
  Likes Received: 12,671
  Trophy Points: 280
  Bado anapumulia
  machine bhanaa
  hivi ni usishi au?
  Kwanini hawazimi hizo
  mashine akarest in pis
  long time asee umri wa mtu kabisa
   
 7. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Huyo ni jembe kule israel
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wewe una uhakika na unachokiuliza kwamba hakina hakika ?
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Jembe ! Etiee! Si ajijembishe means atumie jembe atoke kunako kupumulia mashine ? Au jembe hufikia kua expired ?
   
Loading...