braza makaptula
Member
- Dec 13, 2011
- 54
- 13
Asante kwa taarifa mkuuHajafa, bado anapumua kwa mashine. Kwa lugha ya kitaaluma yupo katika hali ya "persistive vegatative state". Amefikisha miaka 84!
Makafiri hutamani kuishi milele !Yupo hai lakini in COMA ni mwaka wa nne au tano sasa....Sijui inawasaidia nini kumweka mtu kama huyu kwenye mashine muda wote huu? Hhahhaha labda wanasubiri siku Yesu akirudi mara ya pili amkute yupo hai na si mfu.
Je na huyu rais Ahmed Ahmedinejad wa Iran naye atapata laana gani toka kwa MUNGU kwa kuwa toka ameingia madarakani amekuwa akitoa kauli za kufuta taifa la Israel, au MUNGU anaemwamini yeye siye aliyewaumba wayahudi wa Israel???Laana mbaya sana kwani ndio huyu alietoa lugha au aliekua na dhamira ya kuwafuta wa PALESTINA wote bila kujua MUNGU ndie aliewaumba hao aw Palestina sasa amekua akiadhirika kwa miaka mingi..huo ni ushaidi tosha kua Mungu yupo na atatatetea haki za wanyonge,wachache cha msingi wamtambue kua hakuna km yeye
Je, amekwisha futa wayahudi wangapi mpaka sasa !? Kumbuka Iran ndio nchi yenye Wayahudi wengi duniani ! Pia kumbuka a.k.a ya Ariel Sharon ni " Bulldozer " kwa kuuwa Wapestina !Je na huyu rais Ahmed Ahmedinejad wa Iran naye atapata laana gani toka kwa MUNGU kwa kuwa toka ameingia madarakani amekuwa akitoa kauli za kufuta taifa la Israel, au MUNGU anaemwamini yeye siye aliyewaumba wayahudi wa Israel???
Laana mbaya sana kwani ndio huyu alietoa lugha au aliekua na dhamira ya kuwafuta wa PALESTINA wote bila kujua MUNGU ndie aliewaumba hao aw Palestina sasa amekua akiadhirika kwa miaka mingi..huo ni ushaidi tosha kua Mungu yupo na atatatetea haki za wanyonge,wachache cha msingi wamtambue kua hakuna km yeye
Je, amekwisha futa wayahudi wangapi mpaka sasa !? Kumbuka Iran ndio nchi yenye Wayahudi wengi duniani ! Pia kumbuka a.k.a ya Ariel Sharon ni " Bulldozer " kwa kuuwa Wapestina !
Najuwa unajipendekeza kwao kwakuwa Mungu wako wao wanamwita 'Mjomba' !Hivi unafikiri hapa duniani kuna mtu anajali Mapalestina? Hao Mapalestina wamekuwa wakichapwa Bakora na Myahudi kila mwaka, wapi umoja wa Arabu? Huoni wanakumbuka kipigo cha Six day War. Kamwe hawata sahau mpaka kihama.
Mungu ibariki Israel wa endelee kuwapa kibano Palestina.
Acha kutumia lugha chafu, hivi kafiri si anaye pinga Mungu? Sasa nani kafiri kutokana na Koran? Maana allah kesha sema hakuna Mungu,
Najuwa unajipendekeza kwao kwakuwa Mungu wako wao wanamwita 'Mjomba' !
Ndo maana nimekwambia Mungu wako, wao wanamwita Mjomba, wengine Kaka, wengine Binamu !Israel ni taifa teule la Mungu Yehova Yire, amini usiamini, ila, hakuna atakaeweza kulifuta kwenye uso wa dunia taifa la Israel. Kuilaani Israel ni kujiombea laana, na kuibariki Israel ni kujihakikishia baraka.
roho ikiwa kooni utaiona?utafahm vipi?mambo ya kupewa vitu usivyojua mapangoni na mashetani usilete hapaMakafiri hutamani kuishi milele !
" Yawaje basi itakapofika roho kwenye koo, na nyinyi wakati huo mnatazama ! Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi. Lau nyinyi ham'mo katika mamlaka yangu, kwanini hamuirudishi hiyo roho, ikiwa nyinyi mnasema kweli ? Qur'an; 56: 83-87.
Hapo chachaa !????
NAZANI HUYO DOGO ALIYEZUNGUMZA HAJUI MAMBO-SIJUI KAMA AHMEDNEJAD NA AYATOLLAH HATA ANAWAFAHAMUM AU ASHAWAHI KUWASIKIAJe na huyu rais Ahmed Ahmedinejad wa Iran naye atapata laana gani toka kwa MUNGU kwa kuwa toka ameingia madarakani amekuwa akitoa kauli za kufuta taifa la Israel, au MUNGU anaemwamini yeye siye aliyewaumba wayahudi wa Israel???
ASKarikanzu kaeleza juu hapo-hio hali inajulikana pia kama permanent negative state,coz hawez kurudi kwenye normal state-labda miracle itokee-ila kuna part za mwili wake zikisaidiwa na mashines zipo activeNdugu wana JF; Waziri mkuu wa zamani wa Israel Nd. Sharon alipata stroke na kupelekea kuuachia Uwaziri, aliendelea kupata stroke akiwa hospitali na kuwa kwenye Koma kwa muda mrefu, lakini ni miaka mingi sasa imepita hakuna taarifa zinazotolewa kuhusu afya yake au alishaaga dunia?
naomba mwenye taarifa atujuze
Je, amekwisha futa wayahudi wangapi mpaka sasa !? Kumbuka Iran ndio nchi yenye Wayahudi wengi duniani ! Pia kumbuka a.k.a ya Ariel Sharon ni " Bulldozer " kwa kuuwa Wapestina !
roho ikiwa kooni utaiona?utafahm vipi?mambo ya kupewa vitu usivyojua mapangoni na mashetani usilete hapa
NAZANI HUYO DOGO ALIYEZUNGUMZA HAJUI MAMBO-SIJUI KAMA AHMEDNEJAD NA AYATOLLAH HATA ANAWAFAHAMUM AU ASHAWAHI KUWASIKIA
ASKarikanzu kaeleza juu hapo-hio hali inajulikana pia kama permanent negative state,coz hawez kurudi kwenye normal state-labda miracle itokee-ila kuna part za mwili wake zikisaidiwa na mashines zipo active
Hivi unafikiri hapa duniani kuna mtu anajali Mapalestina? Hao Mapalestina wamekuwa wakichapwa Bakora na Myahudi kila mwaka, wapi umoja wa Arabu? Huoni wanakumbuka kipigo cha Six day War. Kamwe hawata sahau mpaka kihama.
Mungu ibariki Israel wa endelee kuwapa kibano Palestina.