Ariel Sharon yuko wapi?

Daah haya muulizeni Eyal Peled Muisrael makini mno na masuala ya Afrika yupo Pwani kwa wasiojua kununa
 
Alishakufa muda mrefu, inaonekana taarifa hamna kabisa, nendeni google itawajibu.
Hii thread ni ya zamani na ilijadiliwa wakati Sharon akiwa on coma... usijifanye unajua kumbe unaungua na jua...

Ibada njema inaanzia Nyumbani
 
Aisha kufa hukusikia?
Na wewe kichwani umehamisha akili umeweka maboga! unaposoma thread tizama imewekwa humu lini na sio unakuja mbio unashebedua ovyo ovyo tu.... hii thread kwa umri wake ni history tayari so huna la kubadilisha katika History... kuwa mpole uwe msomaji tu.
 
Back
Top Bottom