Argentina And Hijab | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Argentina And Hijab

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Feb 3, 2011.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Argentina And Hijab

  The administration of Cristina Fernandez has passed an historic legislation that allows Muslim women to wear hijab in public places without the fear of persecution. They can use photographs wearing headscarves for their national ID cards.

  The new law seeks to promote freedom of religion and expression in the Latin American country, and help the Muslim community to integrate into the Argentinean society.

  The Muslim community in Argentina has welcomed the news, especially seeing that in other places like France, governments are taking drastic measures to ban the Islamic headscarf in public places and schools.

  While Argentina's Muslims - who make up about 2 per cent of the population - live in harmony and peace in the mostly Catholic society, they say sometimes it is hard to practice the religion, because of the way the media represents Islam and Muslims at large.

  The government says it will enforce the law to the best of its ability and in collaboration with police forces, the judiciary and the business community.

  Although Muslims are a minority here in Argentina, the government is making it a priority to make sure they're free to express their religion without discrimination.  Source: PTV
   
 2. N

  Nonda JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Ni vyema kukawa na serikali nyingi kama za Argentina zenye kupenda diversity in practice. na inclusive.
  Hii itawafanya hao wenye kutaka kuvaa mavazi hayo wajione ni raia kamili kama wengine. Hongera kwa serikali ya Argentina.
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Ndo serikali zinazotawaliwa na watu wenye akili ukienda saudia hakuna uhuru wa kuabudu kama upo umebanwa sana!
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Waache siku wakilipuliwa na wavaa Hijab ndo watajuuta
   
 5. N

  Nonda JF-Expert Member

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Maria Roza,

  Watenda uhalifu wako katika kila nchi na kila kundi la watu....usiendeleze stereotype hii juu ya kundi hili.

  wanaojilipua ni wachache katika mamilioni ya hao wavaa hijabu,,tujaribu kujenga utamaduni wa diversity, multiculturism, intergrated na inclusive societies...umesahau kuwa dunia imekuwa ni kijiji sasa.
  Kila sehemu unayokwenda, jamii zina watu kutoka kila kipembe cha dunia, wa rangi na mila tofauti.

  Sisi binadamu tungekuwa na uelewa na upendo wa kama watoto wadogo basi hapa duniani tungeishi kwa raha. waweke watoto pamoja hata kama ni rangi na mila tofauti ambao hawajawa "indoctrinated" halafu uwaangalie mahusiano yao.Utapenda!!

  Pia Maria Roza kama ungekuwa na bustani ya maua, si ungependa uwe na miti na maua kila aina na kila rangi ndio ungejisikia raha unapojipumzisha humo?
  sasa kwa nini isiwe kwa binadamu wenzio?

  Wale walioua waandamanaji Arusha hawakuwa wamevaa hijabu!! unaona sasa!!???
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  A good move,at least one positive attitude after islamic bashing in Europe.
   
 7. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  nonda, kwa hakika hii habari inaonyesha ukomavu wa civilization ya wa-agentina. Angalizo, mahali popote ambapo uislam unakomaa haujali culture za makundi mengine: mfano kule talibani kila raia alilazimishwa kufuga ndevu, kutopiga mziki ama movie za west etc. Tazama pia kilichotokea kibaigwa- dodoma last week: waislam baada ya ibada yao ya mchana walienda kuvunja kibanda cha kuuzia nyama ya nguruwe na kisha wakaandamana kwenda kuvamia polis post ili wawatoe wenzao (2) walikamatwa kwa tuhuma za kushiriki kuvunja kibanda cha kuuzia nguruwe, hata pale kigogo(sambusa) kunakundi la waislam liliwahi kumwambia aliyekuwa meya wa ilala kuwa wasingeweza kufanya biashara katika eneo hilo kwa kuwa kuna bucha ya nguruwe, usisahau pia kilichotokea mwembechai some years back: hawa ni watu wa kuangalia kwa makini na kukaa nao mbali, wanakuja kwako mikono nyuma ukiwapa nafasi wewe ndo unakuwa mbaya na looser.
   
 8. b

  bakarikazinja Senior Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmhhh kaka genekai umeliona hilo mimi ngoja niondoke niende kwenye forum nyingine:A S 20:
   
 9. T

  Tata JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,735
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Good. Sasa tunasubiri SAUDI ARABIA na serikali nyingine za mashariki ya mbali kama IRAN waruhusu wakina mama wasio waislam watembee mitaani bila kuvaa vilemba wala hijabu.
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sidhani hizo nchi ulizo zitaja zinaweza kuruhusu watu (Kina mama) watembee uchi.
   
 11. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 4,019
  Trophy Points: 280
  Na Saudi Arabia nao wafuate mkondo waruhusu Makanisa Mecca na Madina
   
 12. K

  Koba JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...hilo ndio tatizo lenu,yaani kutovaa hizo hijabu zenu mnasema ni uchi? nyie watu mnalia foul na kulazimisha dini na culture zenu kwa wengine lakini tunajua mngekuwa nyie ndio mna power kila mtu angelazimishwa kufuga ndevu na hijabu,sometimes naona hakuna haja ya compromise na watu kama nyie maana nyie wenyewe hamna.
   
 13. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  watembee uchi? unamaanisha nini?
  kumbe huwa hawavai nguo?
  kama huwezi kuwaheshimu wenzako just expect the same treatment to u
   
 14. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Hawa wanawezwa na Sarkozy tu, maana wanaviburi sana kwa kujiona wao ndio wao.
  najua dini zote tunafundishwa kupendana, kuvumiliana na kuheshimiana pamoja na utofauti wetu :msela:
   
 15. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mwislamu akivaa hijabu, NOMA, lakini Sister wa Kikatoliki akivaa, POA. Tunaenda wapi?
   
 16. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #16
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Unataka waruhusu culture na tamaduni za kutembea uchi?
   
 17. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #17
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hivi mtu akiwa uchi, ukamwambia kuwa yupo uchi, ni kuto kumuheshimu?
   
 18. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  gud.. mfano wa kuigwa huu nba mataifa kama saudia na mengineyo
   
 19. M

  Mkare JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good!
   
 20. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  alaah, kumbe kilemba na hijab ndio nguo tu out of that ni kutembea uchi???
   
Loading...