Hapana, hapo ni gas station!.:redface:hapo ni sheli au
Mmiliki wa biashara hiyo atakuwa katokea kishumundu tu...Cc miss chagga, Matege
Mmiliki wa biashara hiyo atakuwa katokea kishumundu tu...Cc miss chagga, Matege
Maajabu yanaanzia hapo ndugu yangu.....Halafu hawa watani zangu bana! Baada ya mwaka anajenga ghorofa!
Kweli mnajitangaza mtani wala si uongo.......hahaha.. mtani biashara matangazo
Mmiliki wa biashara hiyo atakuwa katokea kishumundu tu...Cc miss chagga, Matege
Haswaa...maana kwa ushamba wanaongoza.......yawezekana
Halafu hawa watani zangu bana! Baada ya mwaka anajenga ghorofa!
Haswaa...maana kwa ushamba wanaongoza.......
hahaha.. mtani biashara matangazo
Hhahahahaaaa.....wacha mikwala yako wewe....nitakumwagia dengelua ulewe alafu nikuibie hivyo visenti vyako ulivyodunduliza.........mtani utakula za uso
Kwanza wapeleke kaka zako wa kishumundu....maana ubahili wao umepitiliza kiwango....duh..mtani nakupeleka mirembe