Are you married?are you simba fans?

Are you married?are you simba fans?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,702
Reaction score
39,144
Kama ndio
umeshawahi kumfurahisha kila siku mkeo ama mumeo kitandani?
Kama sio kwa nini sio timu ya simba
naomba wapenzi wote mjuue wale ni wachezaji na binadamu kuna wakati wa
kushinda na kushindwa..naongea kama mpenzi wa yanga nisiependa kinachoendelea
simba

ifike wakati wapenzi tuheshimu uamuzi na hali halisi ya wachezaji ..si kila siku wanashinda
vinginevyo tusingekuwa na atletico madrid kule hispania sababu real madrid na barcelona wako juu

kuna vilabu vingi tu pamoja na pesa zao hata nafasi ya tano awapo..kama ndio nini simba wanaotegemea pesa za okwi ndio waendee kucheza na libolo na bado mnavuruga amani mngekuwa na hela je kama yanga si ingekuwa hatari zaidi

kama umekasirika hamia yanga
fee bure ukileta kadi ya simba klabuni
 
Pdidy uchokozi huo !
 
Last edited by a moderator:
Haaahaaaaaaa
mani napita tu si unajua wanaenda kwa libolo sasa wajiandae sio makelele wakija tunamliza kazi taifa
 
Haaahaaaaaaa
mani napita tu si unajua wanaenda kwa libolo sasa wajiandae sio makelele wakija tunamliza kazi taifa


PDIDY nakuheshimu sana achana mambo ysiyo kuhusu

BTW hata simba waishiwe vipi GOLI tano hurudishi!
 
Timu yao pinzania ya Angola imewabatiza Simba Jina jipya ambalo watani wao wa jadi Yanga wamelitumia kuwatuliza mashbiki wa Simba walipowazomea mashabiki wa Yanga baada ya mchezaji wa Yanga kukosa penalty juzi kati ya Yanga na Kagera Sugar kwa kweli utani umefika patamu.
 
Jina gani bm
mbona hivyo au utatuambia jioni

mkuu makofia haya bana ushauri wako nimeupata ngoja tusubiri matokeo ya libolo
 
Jina gani bm
mbona hivyo au utatuambia jioni

mkuu makofia haya bana ushauri wako nimeupata ngoja tusubiri matokeo ya libolo

Mashabiki wa Yanga baada ya kuzomewa mpiga penati wa Yanga akakosa Mashabiki wa Yanga karibia wote walisimama na kufanya kama ngumi ambazo walizipitisha kwenye mkono wa kushoto kama wanakanda ile ngum nadhani ukifanya riheso utanielewa. Simba walibaki KIMYA
 
nakuona unavylipenda liboro
safi sana subiri shuguli yake mmeshaondoka kwanza ama mko bagamoyo bado

Uwe unaelewa na wewe mimi nimesema mshabiki wa Libolo Fc sasa Bagamoyo ipi unayoizungumzia wewe? au bagamoyo ya Angola?
 
Kama ndio
umeshawahi kumfurahisha kila siku mkeo ama mumeo kitandani?
Kama sio kwa nini sio timu ya simba
naomba wapenzi wote mjuue wale ni wachezaji na binadamu kuna wakati wa
kushinda na kushindwa..naongea kama mpenzi wa yanga nisiependa kinachoendelea
simba

ifike wakati wapenzi tuheshimu uamuzi na hali halisi ya wachezaji ..si kila siku wanashinda
vinginevyo tusingekuwa na atletico madrid kule hispania sababu real madrid na barcelona wako juu

kuna vilabu vingi tu pamoja na pesa zao hata nafasi ya tano awapo..kama ndio nini simba wanaotegemea pesa za okwi ndio waendee kucheza na libolo na bado mnavuruga amani mngekuwa na hela je kama yanga si ingekuwa hatari zaidi

kama umekasirika hamia yanga
fee bure ukileta kadi ya simba klabuni
Sema kuhamaa timu kama kuhama kabila haiwezekani lakini ukweli timu yangu inanikoroga roho!
 
Back
Top Bottom