panatamanishaje natangaza tenda ya kutunisha mfuko wangu teamB hamuhusiki
Realy??? We si huwa unajisifia una kaka?
Maeneo ya namna hii ili kujivinjari inahitaji mfuko utune kidogo, lakini kama mtu ukijipanga ndani ya miezi miwili kwa ule mtindo wa umoja ni nguvu, watu wanajimuvuzisha mjengoni kiulaini bila chenga.
Waheshimiwa hili ndilo eneo la tukio
Are you invited....?
CC:
lara 1, sister, Paloma, Vivianna, Heaven on Earth, Elizabeth Dominic, tinna cute, miss strong, cacico, ladyfurahia, KakaKiiza, Kaizer, amu, mwekundu, Tyta, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi, miss neddy, badiebey, Mentor, Asprin, miss chagga, angelita, NANDERA, charminglady
Na wengineo.......
duh yaani pamoja na kukumbushia kwa nguvu zote sijawa-mentioned!!!!! kweli JF ina wenyewe.........
duh yaani pamoja na kukumbushia kwa nguvu zote sijawa-mentioned!!!!! kweli JF ina wenyewe.........
Hili linaitwa gubu sasa, wewe lipa mpunga huo, kuwa mentioned siyo issue cha msingi are u invited?
Twende uwanjani tu kaka, huku kuna wenyewe