Bryson Mbeula
Member
- Sep 25, 2011
- 46
- 4
Hivi naweza kukusanya watoto wa kitaa nikawasomea eeh?
Ngoja niangalie jinsi ya kuandaa somo
Hata kama sijajiandaa kununua vitabu vingi, si naweza print mtandaoni na kwenda kuwakusanya watoto wa mtaani kama 20, nawagawia nakala, tunasoma pamoja? Baada ya kusoma juisi za vijoti box 1 na pocorn za namanga tosha kabisa.
Tena hii ni assigment yangu wiki hii
Kuna kimoja niliona milimani city during my last journey in Dar.
Unakumbuka Mzee Mwanakijiji alivotaka kuprint Majeruhi wa Mapenzi?matatizo ya mlimani city ni price
unakuta bei twice ya price ya Europe
sasa wwangapi watamudu?
tunahitaji printing revolution kama ya India
Unakumbuka Mzee Mwanakijiji alivotaka kuprint Majeruhi wa Mapenzi?
The prices home were higher than anywhere else in the world, imagine
wakati kitabu chenyewe cha kiswahili, targetis an East African audiance!
EMT and Mwali like this. hahahaha
Jaribu hapa (link) ila hakkisha unakisoma kwanza isije ikawa remix:weekend hii nafanya kitu kwa watoto wa mtaani kwangu.
Nikualike unisaidie kuja kuwasomea vitabu?
Hivi story nzuri za kiswahili nitapata wapi?
Naomba kama unajua site ni download?
Nitaalika na under 5 watakuwa wanapaka rangi, nitaprint cartoons blank.
Am loving this, nina muwashawasha kweli.
kumbe ni majumbani? Na tusio na watoto majumbani je? I planned kuenda hospitali, ward ya watoto na kusoma nao. . . .
Hivi naweza kukusanya watoto wa kitaa nikawasomea eeh?
Ngoja niangalie jinsi ya kuandaa somo
Hata kama sijajiandaa kununua vitabu vingi, si naweza print mtandaoni na kwenda kuwakusanya watoto wa mtaani kama 20, nawagawia nakala, tunasoma pamoja? Baada ya kusoma juisi za vijoti box 1 na pocorn za namanga tosha kabisa.
Tena hii ni assigment yangu wiki hii
Now we are talking... tayari mwenzetu mmoja huko Mbeya yeye anasubiri kwa hamu kweli; tayari keshapata watoto 12 wa mtaani kwake..
yaani mtaa naoshi, una watoto karibu 50 chini ya miaka 12, hapa napanga tu nitawezaje fanya na wote wakaelewa na kufurahi.
matatizo ya mlimani city ni price
unakuta bei twice ya price ya Europe
sasa wwangapi watamudu?
tunahitaji printing revolution kama ya India
Raha sana, mimi ni mpenzi mkubwa sana wa vitabu,napenda sana kusoma na kujisomea na nyumbani japo mama alikuwa mwalimu lakini hatukusomewa tuliletewa tujisomee
Nilisoma sana hadithi fulani za warusi ( collection) nilipokuwa mdogo zilizotafsiriwa kwa kiswahili, kwakweli zile hadithi zilikuwa za kusisimua sana nazikumbuka mpaka leo (barua isiyopelekwa,mwanamke aliyegonga hodi saa kumi, bwana harusi na nyinginezo,nilikuwa darasa la 2 )
Ni wazo zuri sana, sijawahi kufikiri kumsomea mwanangu kitabu japo nawanunulia sana
Nakumbuka darasa la 3 ( shule ya msingi Gangilonga ) nilitandikwa haswa kwa kukutwa na kitabu nakikumbuka mpaka leo 'Dogodogo wanitesaaaaa'
Nitawasomea vitabu kadhaa kutokana na umri wao, na nitajitahidi iwe mazoea maana TV (cartoons )ndio inabembeleza watoto walale sikuhizi