Are you EQUALLY committed? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Are you EQUALLY committed?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masikini_Jeuri, Oct 25, 2011.

 1. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  [h=6]You can measure your commitment to your marriage by your willingness to unconditionally love and forgive your spouse. You can measure their commitment to you by the same. Are you EQUALLY committed?

  If yes, AMEN
  If no, identify the problem(s) and start the process...
  [/h]
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Forgive about what? Anything and everything?
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kuna mtu leo kaniambia na nimemkubalia, marriage is compromise!
  she can't be wrong.
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Wooord!
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mie my interest lies in the fact kua i want to know nini kimekusukuma to say these useful words.....
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  MJ...........mbona umenigusa?

  Natamani ningewezasema AMEN..............................but kama alivyouliza mheshimiwa Nyani Ngabu. Forgive about what?? kwa sababu ungekuwa rahic sana kama kuforgive ingekuwa rahisi kwa kila kosa unalotendewa, but bahati mbaya kuna makosa yasiyosameheka kusema ukweli sanasana unaamua tu kuyamezea huku unateketea ndani. Na unapoamua kumezea haimaanishi true commitment sometimes unakuwa forced kuforgive kutokana na circumstaces.......... (tumekuwa tunasikia wanawake wengi wana'forgive' kwa hisani ya watoto, kulinda heshima ya jamii n.k but does it mean commitment?

  Issue ya unconditional love kwa kweli mie nashindwa kuiapply kwenye mahusiano haya ya kikubwa!...... kwa sababu kuna extent ambayo ukiivuka, no matter how much mwenzi wako anakupenda lazima kuna kipimo au kikomo hivyo unconditional love kuwa defined.
  Kwenye ulimwengu wangu mie unconditional love inaapply kati ya mzazi na mtoto. Mzazi anampenda mtoto wake no matter what!
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh........................... I also salute her..whoever she is lol

  You always love with your mind and not heart alone!
   
Loading...