Are we all great thinkers?

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
406
89
Natanguliza heshima zangu kwene nyooote,

Nimelazimika kuanza na swali kutokana na yaliyotokea katika thread niliyoanzisha jana ya HOW I MADE OVER 36,000/- US$ PER MONTH.

Miaka mingi sana nimekuwa mpenzi wa JF, tangu ikiitwa Jambo, nimekuwa nikiamini kuna MA GREAT THINKERS, lakini sasa nalazimika kujiuliza mara mbili mbili.

Mi nilidhani MA GREAT THINKERS badala ya kuifunga kwa amri ya mtu mmoja tu wangefanya utafiti kwa maelekezo simple kabisa yalokuwa kwenye thread ile na kuona je inawezakana, je ni scam, je kuna ukweli wowote?

Na ni rahisi sa kupata ukweli juu ya hili, japo kukubaliana nalo na kufanya maamuzi ya nini ufanye ni ya mtu binafsi.

Wapo walosema kwanini sikuweka kila kitu hapa, hii si rahisi, elimu ya mwaka mzima, imefupishwa sana na kuweza kutosha masaa kadhaa wawezaje kuipost hapa?

Mi nadhani si vyema MODS kuamua kwa ajili ya watu wengine, naamini humu sote ni watu wazima na kila mmoja ana maamuzi yake binafsi, na zaidi ya yote kuwa MASIKINI AU TAJIRI KUFANIKIWA AU KUTOFANIKIWA NI MAAMUZI BINAFSI TU.

Yoyote ambaye anahitaji kujua ninawezaje KUINGIZA ZAIDI YA MILLION 30 KWA MWEZI FUATA LINK HII, na yule anayezani haiwezekani alazimishwi.

Kujiunga jana au juzi si kigezo, nimejiunga ili tuinuane kiuchumi badala ya kupiga soga kutwa nzima, je mwajua kuwa kuna watu wanalipwa kwa kubonyeza keyboards tu? KARNE HII YA ICT HAKUNA LISILOWEZEKANA.

Naomba MODS msiamue kwa niaba ya wote.
 
Who Cares?

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
3,509
3,349
swali lako zuri kweli... ila na mie naomba nikuulize...."R U a great thinker?"... maana sielewe where did u get the "AUDACITY" ... ya kuja hapa na kuingia ilhali hujui kama "umeenda nyumbani kwa great thinkers"... na umekaa humu ndani toka kipindi hichooo jengo likiitwa jambo... na leo laitwa jamii... nahisi wewe mwenyewe ndio ujiulize "how great thinker you are " or u r just a great sinker"....

kwa watu kupinga hoja yako hakutoshi wewe kuhoji uwezo wao wa kufikiri.. not all the times you look at the mirror you looks like you think...sometimes mirrors do a lot of favour to those with negative-mindset.... TAKE CARE MZEE unaweza kujiangalia kwenye kioo na kuamini umependeza kumbe ni kioo kimekupendelea kupendeza.... afterall "i dont knw if a greater thinker as you want us to be"
 
Nashukuru sana mzee kwa angalizo, ila hilo swali na mie nimo au walisomaje weye?
 
engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,427
zaidi ya yote kuwa MASIKINI AU TAJIRI KUFANIKIWA AU KUTOFANIKIWA NI MAAMUZI BINAFSI TU.
unajuwa mi bado sijakuelewa ktk huo usemi wako hapo juu,kwani nacho juwa kila mtu ktk hii dunia ana hangaika kupata mafanikio lakini mwisho wa siku hapati kile alichokitegemea na baadhi hupata inategemea na bahati ya mtu,pia mkuu tambuwa kuwa si kweli kuwa kunamtu anayeamuwa asifanikiwe mi nadhani maisha huendana na bahati na kudra za mwenyezi mungu kwani yeye ndiye mtowa wa kila kitu hapa duniani na ajuaye siri ya kila mtu,ok kama umefanikiwa kwa kiasi hicho mshukuru mungu ameweka heri ktk hilo ila usije dharau mtu kwa kutokuwa na mafanikio eti kajipendea awe hivyo,mi nikupe pongezi kwa kutaka kuwapa njia hata wenzako jinsi gani unavyo make bingo may be mungu ataendelea kubaliki kazi ya mikono yako.mapinduziii daimaaaaa
 
Yupo mwanafalsfa mmoja (sikumbuki vyema kama ni Plato au) aliwai sema hivi "It is not your mistake that you were born poor, but its 100% your mistake if you die poor"

Je kwa kliasi gani waamini msemo huu, kwa msaada zaii tafuta kitabu kinaitwa Rich Dad Poor Dad cha Robert Kiyosaki au Rich Dad's Cashflow Quadrants cha RK pia, ujioonee kwa kiasi gani fikra zetu ndo ama zinatuletea umasikini au utajiri, mafanikio ama kushindwa.
 
Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
406
89
people dont want to be millionaires.....full stop!

Wanikumbusha mwandishi wa kitabu cha "Think and Grow Rich" Napaleon Hill anasema umasikini ama utajiri watokana na nini unawaza, yaani vile tulivyo ni mateo ya nini tunafikiri, Fikira zetu zinaadhari kubwa sana ya utendaji.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom