"Are u relaxing?"

"Are u relaxing?"

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,536
Reaction score
15,751
Jamaa alikuwa ametulia Beach, Mzungu akapita akamuuliza "Are u relaxing?" Jamaa hakuelewa akajibu tu "NO" Akapita mwingine akamuuliza vilevile akajibu "NO" Alipoona hapa anasumbuliwa sana, Akasogea mbele kidogo ya Ufukwe, Akamuona Mzungu mmoja ametulia akamuliza "Are u relaxing?" Mzungu akajibu "YES" Jamaa akamkata Makofi mawili na kumwambia "Pumbavu Kumbe we ndo Relaxing!? Inuka hapo unatafutwa na wenzako! Sheenz! Mi naulizwa ulizwa pale we unaangalia tuuuu.!!!".
 
Nilipoona relaxing nilifikiri ni ile version ya kihindi kumbe hii ni version tofauti kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom