Are u planning to get married?....i do

Are u planning to get married?....i do

karibu sana!
yani humu ni full kutokuwa mchoyo wa material
kushare kwa kwenda mbele
halafu principal wetu anaturuhusu kudesa wenzio
na maksi zinakuwa za wote!
kufanya make up za test kunaruhusiwa sana tu
ukifail wa leo maksi ndogo zinafutwa unasubiriwa ufaulu wa kesho ndo maksi kuwa zinawekwa!
wacha kabisa hii shule ni tamu ile mbaya!
wepesi tu wa kujifunza ,kukubali kuwa swali umelikosea na kuomba masahihisho
kusaidiana kwenye test na mitihani ndo mpango mzima wa darasa hili!

mwanafunzi mwaminifu.
 
natamani ningeijua mapema hii shule....
 
natamani ningeijua mapema hii shule....

hujachelewa my dear!
Fanya application kwa principal wetu atakujibu this very soon na atakuelekeza dawati alipo classmet sahihi!
kisha ujage tujilie miraha ya shuleni kwetu!
MUHUBIRI 3:3
 
sawa wa kunyumba ntakualika tuje tuserebuke wote baada ya kumpata classmet wangu.
 
Looh! Umenipa appetite ya kwenda kula...Umegusa maisha yangu ya shule na my mate huku principal akiwa karibu kila tukimhitaji, ogepa principal asielala wala kuchoka. Mungu abariki ndoa ziwe kisima cha upendo wa dunia mzima.
 
Do u knw what comes before and after marriage??
 
Looh! Umenipa appetite ya kwenda kula...Umegusa maisha yangu ya shule na my mate huku principal akiwa karibu kila tukimhitaji, ogepa principal asielala wala kuchoka. Mungu abariki ndoa ziwe kisima cha upendo wa dunia mzima.

Aaaaaamen
 
una uhakika huo mda wa discussion mwenzako anakua hajachoka?

vigezo na masharti kuzingatiwa heheheheee, najitahidi kuhakiki kama yuko sawa kwa discussion kama hatakuwa sawa basi naweza mruhusu apumzike nikasoma na kesho nikamwelezea au tukapumzika wote ili wote tuwe fresh kesho yake. Uzuri wa shule hii kama alivosema my wee snowhite hamna kunyimana material na kugelezea imo hivyo kama kachoka anakuwa muwazi kwangu na kuniambia, ''baby nimechoka........''
 
ahahahhahahhahahha umenichekesah hapo kwenye bold my wee loh!
naimagine tunavogelezeana ahahhahahhahha uuuwih hebu ngoja niwahi kuandaa material mimi manake leo nahis kuna boonge la take home assignment ,KESHO SI HATUJI KAZINI ehn?
basi mwake!
my wee darasa jema mwaya ! full maparticipation kwenye discussion sitaki kukosa maksi hata moja ujue loh!
 
hahahahaaaaa thanks my weee shule njema.
 
Speaker enh
kwaheri bana mimi humu nafikir tutaonana sijui kesho manake nahisi ntasoma mpka vipindi vya asubuhi mfululizo kwahiyo nisiulizwe wala nistafutwe!ahahahhaha na we uende huko maswala ya kutegeana kwenye assgnment sio mazuri!funga pc itafute njia ya home!
toa kabisa topic ya leo ukiwa njiani!
COURSE OUTLINE muhimu babu!lol
 
Last edited by a moderator:

He he he,too bad classmate wangu kasafiri. na mbaya kuliko
yote mie sina weekend wala sikukuu duh.
 
Last edited by a moderator:
karibu sana!
yani humu ni full kutokuwa mchoyo wa material
kushare kwa kwenda mbele
halafu principal wetu anaturuhusu kudesa wenzio
na maksi zinakuwa za wote!
kufanya make up za test kunaruhusiwa sana tu
ukifail wa leo maksi ndogo zinafutwa unasubiriwa ufaulu wa kesho ndo maksi kuwa zinawekwa!
wacha kabisa hii shule ni tamu ile mbaya!
wepesi tu wa kujifunza ,kukubali kuwa swali umelikosea na kuomba masahihisho
kusaidiana kwenye test na mitihani ndo mpango mzima wa darasa hili!

napenda pia kumualika ndugu yangu MKATA KIU kwenye hii shule au taasisi hii ya hiari unayokua awarded certificate hata kabla yaku graduate,karibu sana MKATA KIU.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom