Are u planning to get married?....i do

Are u planning to get married?....i do

karibu sana!
yani humu ni full kutokuwa mchoyo wa material
kushare kwa kwenda mbele
halafu principal wetu anaturuhusu kudesa wenzio
na maksi zinakuwa za wote!
kufanya make up za test kunaruhusiwa sana tu
ukifail wa leo maksi ndogo zinafutwa unasubiriwa ufaulu wa kesho ndo maksi kuwa zinawekwa!
wacha kabisa hii shule ni tamu ile mbaya!
wepesi tu wa kujifunza ,kukubali kuwa swali umelikosea na kuomba masahihisho
kusaidiana kwenye test na mitihani ndo mpango mzima wa darasa hili!

We naona ndio hili somo la Speaker umelielewa kuliko wote hapa, nafikiria kukutafuta unieleweshe kuhusu hiyo "shule"...

Maana mi ni mbulula kabisa lol
 
Last edited by a moderator:
We naona ndio hili somo la Speaker umelielewa kuliko wote hapa, nafikiria kukutafuta unieleweshe kuhusu hiyo "shule"...

Maana mi ni mbulula kabisa lol

Ha ha ha,wewe acha utani bana,una phd kwenye hiyo shule mbona.
 
Last edited by a moderator:
mie tena!
we nambie tu mapema!dada mkubwa FP atakuandalia lijamanda!
lijamanda tu mlongo wangu! na ligambusa kabisaaaaaa tunapelekea hilo lijamanda.
usipate shida mlongo wetu sister, una madada wa kumwaga huku
 
Last edited by a moderator:
Mlivyoifagilia hiyo shule! Ndo maana hatuishi kuulizwa, una mpango gani mwaka huu?
 
We naona ndio hili somo la Speaker umelielewa kuliko wote hapa, nafikiria kukutafuta unieleweshe kuhusu hiyo "shule"...

Maana mi ni mbulula kabisa lol
karibu saaaaana!ntakupa tu madesa yangu na we uyatumie kufaulu mwayego!
anytime karibu!
 
Back
Top Bottom