Are spies made or born?

Mwenyezi mungu mwingi wa rehema akubaliki kwa maneno machache uliyotupatia na ambayo yataishi milele kichwani mwangu
Special thread for discussing espionage business and other closely related issues:

Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.

Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?

Ninawasilisha mjadala.
==========

Mchango kutoka kwa mdau
 
Mkuu hata wewe yawezekana upo kazini. Maana maswali yako yanachembe chembe ya kile unacho kiuliza zaidi ya wale wanao papasa na kujaribu kukupa majibu kulingana na mambo wanayo sikia vijiweni au kuona kwenye muvi za kijasusi.
ana google huyo wala hata usipate hofu.. wanaogoogl utawajua tu
 
Special thread for discussing espionage business and other closely related issues:

Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF.

Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa kama uwezo wa hawa watu (spies/intelligence officers) huwa ni wa mafunzo au wanazaliwa wakiwa tayari ni spies?

Ninawasilisha mjadala.
==========

Mchango kutoka kwa mdau
well said........chukua soda hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HASA KUNA MWANAFUNZI MMOJA KATIKA SHULE YA SEKONDARI -------------- MKOA WA GEITA WILAYA YA MBOGWE HUWA SIMWELEWI KAMA ANATEMBEA UPANDE UPANDE VILE HUWA NAMHISI
 
Ni mwanafunzi wa kawaida tu usihofu
HASA KUNA MWANAFUNZI MMOJA KATIKA SHULE YA SEKONDARI -------------- MKOA WA GEITA WILAYA YA MBOGWE HUWA SIMWELEWI KAMA ANATEMBEA UPANDE UPANDE VILE HUWA NAMHISI
 
Back
Top Bottom