Hatma/Destiny ni nini?Kuna mwandishi mmoja aliandaika " Whatever happens to you has been waiting to happen since the beginning of time." - Marcus Aurelius
Je ni kweli kila tunachofanya na njia tunazopita na kila kinachotokea tayari zishapangwa kabla hata ya kuzaliwa? Au sisi wenyewe ndio tunaotengeneza hatma zetu?
Kama ni mkristo au ni msomaji wa Biblia utakua umeliona hili nenoKuna mwandishi mmoja aliandaika " Whatever happens to you has been waiting to happen since the beginning of time." - Marcus Aurelius
Je ni kweli kila tunachofanya na njia tunazopita na kila kinachotokea tayari zishapangwa kabla hata ya kuzaliwa? Au sisi wenyewe ndio tunaotengeneza hatma zetu?
Hatma zetu tunatengeneza wenyewe.
Hamna kabisa.Kwa hivo hamna kusema "kama imepangwa imepangwa"