Are our lives pre destined?

Are our lives pre destined?

T bills

Member
Joined
Apr 19, 2022
Posts
61
Reaction score
65
Kuna mwandishi mmoja aliandaika " Whatever happens to you has been waiting to happen since the beginning of time." - Marcus Aurelius

Je ni kweli kila tunachofanya na njia tunazopita na kila kinachotokea tayari zishapangwa kabla hata ya kuzaliwa? Au sisi wenyewe ndio tunaotengeneza hatma zetu?
 
Hatma/Destiny ni nini?
 
Kama ni mkristo au ni msomaji wa Biblia utakua umeliona hili neno
Yeremia 1:5
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni.
 
Maamuzi tuyafanyayo huathiri moja kwa moja maamuzi yanayofuata.

Na in the long run; maamuzi haya huamua hatima (fate) yetu.

We are not predestined to be whoever or do whatsoever.

Our own decisions determine who we become, or what we do - our fate.
 
Back
Top Bottom