Are Jews Arabs?

Are Jews Arabs?

Status
Not open for further replies.
Are Jews arabs? Somebody told me that we Jews are in the Arab world.

What do you think? “Modern Arab nations are only anti-Israel and have never been anti-Jewish.” “Jews who lived in Islamic countries were well-treated by the Arabs.”

Are Jews arabs?

What does it mean by the term jews ? I know arabs is the race of people in middle east. Are jews a race as well? or a religion of hebrews? if it is a religion, then even arabs can join jewish cult.

What does it mean by the term jews ? I know arabs is the race of people in middle east. Are jews a race as well? or a religion of hebrews? if it is a religion, then even arabs can join jewish cult.
Jewish is both a religion, race and a culture, so Jews (as a race) can change religion if they choose to, and Arabs can be Jews also by religion but not by race. That´s why we have arabic jews but NEVER islamic Jews.

jewish is both a religion, race and a culture, so jews (as a race) can change religion if they choose to, and arabs can be jews also by religion but not by race. That´s why we have arabic jews but never islamic jews.

hapo ndipo jews wanapowazidi akili, wanapowachanganya watu ili wasiwaelewe vizuri.
(1)jews are not the race- the race of the "original jews" is called semetics
(2)if the jew was a race, then when one jew(by race as you say) converto islam why should he cease to be a jew?

Also it is important to know that "original jews" stemmed from the tribe of judah which was predominat at the time, how can it be a race?, what about the other people from the remaining 11 tribes can you be of a different race from your brother of the same father and mother?.

I agree that jewish, is culture and religion but not a race, thats why when jews are confronted they often cry "anti-semitism" , but remember arabs are semetic too!

Swali zuri. Huyu anayesema 'who cares' haishi ulimwengu ninaoishi. Matatizo mengi ya dunia (na pia uvumbuzi mwingi mpya) yanaletwa na Wayahudi. Kila mahali penye vita, nyuma yake kuna Myahudi.
Wayahudi wameishi na mataifa mengi duniani, matokeo yake mataifa hayo yaliwachukia na kuwafukuza (isipokuwa Waislamu) mainly, kwa tabia zao za kupenda control (inaanza kutokea hivi sasa Marekani).
Lakini swali kubwa zaidi-Jee, Wayahudi ni race au ni dini? Kama ni race, ni race gani hiyo maana kuna Wazungu, Waarabu, Waafrika, Wachina...you name it. Mambo haya yataka yawekwe wazi kwani kuna pazia kubwa tunalofunikwa. Kwa nini Wayahudi wapendelewe namna hii? Kama ni kuuawa, mataifa mengi yameuawa na hakuna wa kuzungumzia pogroms zao. Eti Wayahudi 6 milioni wameuawa katika vita ya pili ya dunia...Waafrika milioni 20 wamekufa katika biashara ya utumwa na hakuna kinachosemwa!
Myahudi ana haki nchini Marekani kuliko Mmarekani mwenyewe au mzungu yeyote. Ni Myahudi tu ndie anaweza kuwa na dual citizenship akiwa raia wa Marekani na wakati huo huo raia wa Israel. Watauawa Wapalestina elfu moja hakuna asemaye, auawe Myahudi mmoja tu, dunia nzima itasimama! Hivi sasa wanazungumzia mfungwa wao Gilad Shellit, dunia hainywi maji. Wakati huo huo, Israel inawashikilia pasi na haki zaidi ya wafungwa 20 elfu wa Kipalestina, wakiwemo watoto, wanawake na hata wabunge waliochaguliwa kihalali kabisa katika uchaguzi wa kidemokrasia Gazza....hakuna asemaye! Israel inasema wazi haiondoki katika sehemu ilizoziteka ingawaje kuna resolution ya Umoja wa Mataifa...hakuna anayefanya kitu. Lakini Iran, imewekewa vikwazo tough kwa 'kushukiwa tu' kuwa itatengeneza silaha za nuklia.....hakuna yeyote aliyethibitisha chochote...... inahukumiwa kwa 'dhana tu. Kwa kuliweka wazi hilo, ni kama vile kumtupa jela mtu kwa kumtuhumu huenda akambaka Chausiku kwa vile ana 'ala' ya kufanya hivyo!
Bila ya kumaliza udhalimu huu, dunia itaendelea kuwa katika hali ya vita milele.

Yaap, I do care. I just don't get it, you are irascible for people you don't even know, just read your acrimonious language.
I would advice you to go back to your English class. It should read irascible to instead. What do you mean by my acrimonious language? There isn't a slightest trace of rancor in what I wrote. Acha mchezo wa ku-kremu maneno ya kiingereza. Huo ni ulimbukeni!

Mkuu Sijali, nadhani hayo uliyosema juu ya makelele anapouawa mtu mmoja au wengi ni kinyume chake. Sijaona sehemu ambayo maelfu wanaandamana kuwalaani waarabu na kuchoma bendera zao,lakini kila leo kuna makelele na kuchoma bendera ya Israel toka kila upande wa dunia. Ghilad ametekwa miaka kadhaa iliyopita, je ni kweli kama unavyodanganya hapa kuwa dunia hainywi maji?! Tanzania kuna watu wamewahi kuandamana mara kadhaa na kuilaani Israel kwa 'kuwakandamiza' waarabu! Lakini hawajawahi kusikika wakiandamana juu ya watanzania wenzao waliofukiwa wakiwa hai huko Shinyanga wala wanaouawa sehemu mbalimbali huko bongo, hawajawahi kuandamana kupinga ukatili unaofanywa dhidi watu wa Darfur huko sudan. Hao hao wapenda haki hawajawahi kuandamana na kuilaani uturuki kwa mauaji ya wakurdi wa kituruki inayoyafanya. Na kumbukeni huko nako wawakilishi halali wa wakurdi wanakamatwa hovyo na kuswekwa ndani. Sijaongelea madhila wanayofanyiwa jamii zilizo minority ktk nchi za kiarabu.

Hapo umepatia, na nadhani wewe pia huishi ulimwengu ninaoishi!

ahahahahaaaaaaaaaaaaaaa!...sure_kila mtu ana ulimwengu wake kiongozi wangu,..na ndio maana tukiokota 10 mil. kila mtu atatumia kivyake i.e atajilipia ada(shule),atajenga nyumba,ataanzisha biashara,atafanyia starehe etc

Are Jews arabs? Somebody told me that we Jews are in the Arab world.

What do you think? “Modern Arab nations are only anti-Israel and have never been anti-Jewish.” “Jews who lived in Islamic countries were well-treated by the Arabs

Are Jews arabs?
Double confusion,

are Chagas Sukumas??...?? Sukuma are sukuma as well Chagas are chagas.. that is all.. Never confuse yourself again baby.. take care

I would advice you to go back to your English class. It should read irascible to instead. What do you mean by my acrimonious language? There isn't a slightest trace of rancor in what I wrote. Acha mchezo wa ku-kremu maneno ya kiingereza. Huo ni ulimbukeni!

Bogus reply

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom