Are Jews Arabs?

Status
Not open for further replies.

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,778
4,041
Are Jews arabs? Somebody told me that we Jews are in the Arab world.

What do you think? “Modern Arab nations are only anti-Israel and have never been anti-Jewish.” “Jews who lived in Islamic countries were well-treated by the Arabs

Are Jews arabs?
 

Kobello

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
8,029
6,739
Does it matter?...berbers?...bedouins....shirazis....Farsi....yahuds...pashtuns....kashmirs...persians..they are all people let it go!!!
 

Amir

Member
Feb 14, 2011
40
12
waarabu na wayahudi wa kweli ni waafrika,hao weupe unawaona si waarabu na wala si wayahudi. weupe "waarabu" wengi ni damu ya waturuki,waajemi na assyrian,"wayahudi" weupe wengi ni makabila ya europe.

Na ndo maana kiarabu kinaongelewa Afrika kuliko popote pale duniani,


wa aajemi(persians)walipanda sana mbegu zao middle east na india ili wateke ulimwengu.kwa kweli walikuwa washateka ulimwengu mzima,soma historia
 

Al Zagawi

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
2,251
1,154
wayaudi si waarabu ni taifa teule la Mungu.

hapo kwenye bold ni jibu la swali lililoulizwa na Jew...hayo mengine ni mtazamo wako/imani yako..hata Hitler aliamini ni mteule wa mungu aliyekuja kuwateketeza wakosefu mayahudi.
 

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,591
Niligoogle na kuona hii habari ambayo inaweza kukupa mwanga kidogo kuhusu Wayahudi na Waarabu:

The Arabs and original Jews (Hebrews) are semitic peoples who descend from Abraham through his sons Ishmael & Isaac. Not all Jewish people today are of Hebrew descent so not all Jews and Arabs are related though a great many of the are.

I think a better question would be are Hebrews and Arabs related. And your answer is yes. Abraham (who was promised that all of the prophets will be his sons by god), had two kids, Isaac and Ismael, The Hebrews descended from Isaac and the Arabs descended from Ismael. There were a lot of prophets of Isaac's side and there were only four on Ismael's side. God kept his promise to Abraham, and all of the prophets god sent including Mohammad was from Abraham's side. But to answer the question yes, Jews and Arabs are distant cousins, but this only works for the Jews in Israel for that matter (some non-Jews converted to Judaism doesn't make them distant cousins). The Hebrew Jews would have the same DNA tests as the Arabs mainly because they both had the same father-Abraham.


Also, some Jews migrated to other parts of the world as people conquered Israel over and over again and kicked out the natives. These migrating Jews mixed in with other places(Ex. Germany, Russia, France, Great Britain). They learned to speak the language and started to look like the people around them(from mixing a lot) and you can still see a lot of non-Arab looking Jews today, mainly in the USA and Europe


Read more: Are Jews and Arabs related
 

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,262
840
waarabu na wayahudi wa kweli ni waafrika,hao weupe unawaona si waarabu na wala si wayahudi. weupe "waarabu" wengi ni damu ya waturuki,waajemi na assyrian,"wayahudi" weupe wengi ni makabila ya europe.

waajemi(wa iran,afghan na wanaofanana na hao) sio waarabu
 

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,020
9,232
Kuna kundi kubwa la Wayahudi wa sasa inasemekana asili yao si kabila la "Yuda", bali ni taifa la "khazars", hawa walikubali kukoconvert kwenda katika dini ya kiyahudi mnamo karne kadhaa zilizopita.
mfalme wa taifa la Wakhazar aliitisha debate ya wanatheolojia wa Wakiristu, Kiyahudi na kiislamu then baadae yeye na watu wake wakaamua kuadopt dini ya Kiyahudi kama dini ya taifa.

kwa maelezo zaidi google "KHAZARS JEWS"
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,777
4,625
Are Jews arabs? Somebody told me that we Jews are in the Arab world.

What do you think? "Modern Arab nations are only anti-Israel and have never been anti-Jewish." "Jews who lived in Islamic countries were well-treated by the Arabs."

Are Jews arabs?
nopz they are jews
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Top Bottom