Ardhi university

flyn ryder

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
656
Reaction score
86
Sina uwezo wa kucompare vyuo but kati ya vyuo ambavyo zinatoa taaluma ambazo hutaweza kujutia ukishagraduate..pia kuna course nzur 2 ambazo watu hawazijui..course kama archtecture, geomatics, geoinformatics, environmental engineering na course nyengine bado zina market sana pia unaweza kujiajiri na ajira bado zipo nyingi sana...sipendi ligi just nimetoa ushauri kwa waliokuwa hawajui..nilipokosea naomba mnisamehe
 
Jibaya chahitembeza,Kizuri.....?

Wabongo acheni kuwa na akili mgando.

What is learning?

What is knowledge?

Hivi ubora inapimwa kwa Input au Output?

Nachukia Ujinga maana ni source ya Umaskini na Maradhi.
 
Unaposema courses ambazo watu hawazijui unamaanisha nini??? Environmental engineering.architecture ni nani asiyezijua??
 
Udsm..kwann..n nilisema b4 ctaki ligi
Huu uandishi kuna siku utakuponza.....jirekebishe!!!
 
Kuna ndugu zako kibao hawazijui..acha umbururula wewe..unapenda ligi zisizo na na maana..but ukweli unajulikana mm sio mwana aru but output zao zinaonyesha..
 
Thanks..na ndio maana nilisema kama nitakosea mnisamehe
 
hivi geoinfomatics inahusu nini hasa na ajira zake zimekaaje
 
I h've a dream....tcu hebu ntupieni hapo basi jamaniiiiiii
 
Geoinformatics ni sayansi au teknolojia inayoshughulika na taariafa ya anga (spatial), ukusanyaji wake, mchanganuo, hifadhi yake, processing na usambazaji wake, ikiwa ni pamoja na miundombinu muhimu ya kupata matumizi bora ya habari hii. Kwa kifupi geoinformatics inashughulika zaidi na mambo ya survey vikiwemo viwanja n.k. Ni kozi nzuri sana hautajuta kuichagua. Utaweza pata kazi wizara ya ardhi, manispaa, migodini, civil works, na sehemu nyingi tu zinazofanana na matumizi ya ardhi. Inatumia Geographyical Information Systems (GIS).
 
Hahahahaa..kwan aru na udsm wana tofauti gani?? Mimi nimesoma Udsm as udsm but watu wa ardhi, Muhimbili wote ni wana udsm kwa sababu hata walimu wa Udsm wanafundisha aru na wana aru wana vipindi kule Coet so wewe usijitie unajua sana..na walioomba kugraduate under Udsm ni waganda sio watz
 
Kuna ndugu zako kibao hawazijui..acha umbururula wewe..unapenda ligi zisizo na na maana..but ukweli unajulikana mm sio mwana aru but output zao zinaonyesha..

Hili ni jukwaa la elimu...lazima tuwekane sawa pale inapobidi...na mwerevu hufurahi anaporekebishwa...sijui wewe nikuweke kundi gani!! Au kuwekwa sawa ndo kutaka ligi??
 
Umeeleza vizuri, ila spatial data sio taarifa za anga bali ni taarifa zinazoonesha position (x,y,z) ya kitu chochote katika uso wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…