Ardhi imejaa inatapika matapishi ya damu

Wanaoamini uchawi wana matatizo ya akili.
Kama huamini kuwa uchawi upo na unajifanya unayo imani na unakwenda kuabudu kila siku inapojiri acha kujidanganya na kujipotezea muda ndugu yangu! First uliamini vipi hiyo imani yako inayozungumzia mambo yasiyo bayana halafu usiamini uchawi. Halafu huwezi kuwa na imani na unaabudu then unabisha kuwa hakuna nguvu za giza wakati vitabu vyote vinamtaja shetani na mashetani ambao ndio wakuu wa hizo nguvu za giza.
 
Wanaoharibikiwa kimaisha kwa kuhisi wamelogwa ndo hawa hadi leo hawaendelei!ila wanaoamini ni mungu ameleta misukosuko hakika huendelea!uchawi ungekuwepo basi kusingekuwa na vita amerika ingemloga irani hakuna haja ya kwenda na mandege na vifaru!
Unakanganya! Unaamini Mungu then huamini kama kuna uchawi, then tuambie basi huamini shetani kuwa yupo. Shetani anachukua form tofauti katika vita vyake dhidi ya wanadamu so hivyo unavyosema vita, uchawi na mambo yake na maovu mengine zote ni kazi zake. Shetani hawezi kupishindana na yeye mwenyewe.
 
Kama huamini kuwa uchawi upo na unajifanya unayo imani na unakwenda kuabudu kila siku inapojiri acha kujidanganya na kujipotezea muda ndugu yangu! First uliamini vipi hiyo imani yako inayozungumzia mambo yasiyo bayana halafu usiamini uchawi. Halafu huwezi kuwa na imani na unaabudu then unabisha kuwa hakuna nguvu za giza wakati vitabu vyote vinamtaja shetani na mashetani ambao ndio wakuu wa hizo nguvu za giza.

Imani yangu ipi hiyo unayoizungumzia hapo wewe? Kuna sehemu nimesema huwa naenda kuabudu?

Matatizo ya kusoma vitu na kutokuelewa hata umesoma nini!

Mimi na imani wapi na wapi?
 
Imani yangu ipi hiyo unayoizungumzia hapo wewe? Kuna sehemu nimesema huwa naenda kuabudu?

Matatizo ya kusoma vitu na kutokuelewa hata umesoma nini!

Mimi na imani wapi na wapi?
Asiyeelewa nani hapa, mimi au wewe? Sijasema UNA imani, nilitumia neno KAMA. Then kama huabudu fine unayo haki hiyo.
 
Msingi wako wa utumiaji wa 'kama' ni nini?

Unadhani kila mtu ni mjinga wa kuamini hayo ma imani?
Narudia "Kama huamini kuwa kuna uchawi na una imani..." Kwa kutumia neno kama nilifahamu inaweza kuwa una imani or not. Maadam ulishajipambanua kuwa atheist mengine hayo ni immaterial.
 
Narudia "Kama huamini kuwa kuna uchawi na una imani..." Kwa kutumia neno kama nilifahamu inaweza kuwa una imani or not. Maadam ulishajipambanua kuwa atheist mengine hayo ni immaterial.

Unaona sasa...wapo nimejipambania kuwa mimi ni mkana mungu?

Ni wazi hujui nasimama wapi kwenye hayo mambo!
 
Back
Top Bottom