Ardhi imejaa inatapika matapishi ya damu

ARDHI imebeba siri nzito sana watu wa kale wanajua, kwenye ardhi kuna kila aina ya uchafu, ardhi imebeba asili ya kila kitu kilichopo katika uso wa dunia, waganga wakitaka kufanya matambiko wanaitumia hii hii ardhi kuficha mambo yao, wachawi wakitaka kumfunga mtu asiendelee pia huifadhi uchafu wao na sadaka zao katika ardhi. ni ajabu sana wachawi wanatoa sadaka huku wacha Mungu wakishindwa kabisa kutoa sadaka kwa ajili ya Mungu wao.
image-20160624-28349-11dq7w6.jpg

Wachawi ni watu wabaya sana huwezi amini akikuchukia anadiliki kutoa sadaka ili akuangamize wengine wanadiliki kutoa sadaka za wanyama, damu za wanyama na muda mwingine ata damu za binaadam uhusika, hiyo yote ili ammalize binaadam mwenzake...ardhi ingekuwa inasema ingeongea mengi sana ya siri...ingeongea jinsi inavyoficha vitu vya watu waovu...si ajabu mchawi akauzika mguu tena mguu wa mtu aliehai...Mtu anatembea kumbe mwili wake kuna sehemu umezikwa.
Figure-2-1200x719.jpg

Si nia yangu kuumbua wachawi ila mambo wachawi wanayo yazika ardhini ni makubwa sana, ni rahisi sana mchawi kuzika karatasi yenye majina yako yote tarehe yako ya KUZALIWA na siku yako ya KUFA. kama humjui Mungu mchawi akifukia hicho kikaratasi pindi tarehe itapofika aliyoiandika ya wewe kukuondoa ulimwenguni hutochomoka wala kifo hutokikimbia utakufa tuu labda uanze kumrudia Mungu ili kuvunja LAANA zote za wachawi wanazokuwekea ilikukumaliza.
vifaa+vya+ushirikina.jpg

Tumrudie Mungu uchawi ni kama kigonjwa kinachotumaliza kigonjwa ambacho tuna kipuuza ila
uchawi unatumaliza sana..tumrudie Mungu haswa ardhi inatapika. akili na mafanikio yetu yanafukiwa ardhi, mahusiano yetu hayadumu kumbe wachawi wameyazika ardhini, atua zetu njema zote zinafukiwa ardhini kila tunapoenda tunajikuta atufanikiwi kumbe waganda na wachawi wamefukia atua zetu ardhini.
na kikubwa kinachotumaliza kila wafanyacho waganga kinabaki kizazi hadi kizazi hivyo ni rahisi sana leo kuathiriwa na mambo waliyofungiwa mababu na mabibi zetu.
il_fullxfull.328835283.jpg

Kama wachawi wanaweza kutoa sadaka ili watumalize basi na sisi tumrudie Muumba wetu tena tujitahidi katika kutoa sadaka ili tujikomboe maana wachawi wanaweza wasikuroge wewe ila kumbuka kuwa toka enzi za mababu uchawi ulikuwepo hivyo inawezekana mababu zetu walilogwa enzi hizo mimi na wewe leo tukapata tabu ambayo waliwahi kuipata babu zetu. tabu ambayo babu zetu walishindwa kuikomboa au kuitoa. SADAKA ina siri nzito sana.
Alcantagram-witchcraft-1010823_291_400.jpg

Tunatembea barabarani kumbe kuna wachawi walitulaani kwa vifungo walilaani mababu zetu, walifunga ukoo mzima, leo kila tunachofanya akifanikiwi, kila ukianza kazi unafukuzwa, watu wanakuchuki bila sababu maalum. tufanyeni toba tuondoe kila kilichofukiwa kwenye ardhi ili kuzuia maendeleo yetu mimi eddy_mhando naanza kusema
​
''Ewe ardhi tapika kila kilichofukiwa kwa majina yangu tapika kila ulichokimeza, ardhi tapika mafanikio yangu, ardhi tapika baraka zangu, tapika kila laana waliyowekewa babu zangu na bibi zangu, ardhi tapika mafaniki ya ukoo wangu, ardhi tapika mafanikio ya marafiki zangu wote pamoja na mafanikio ya marafiki zangu wa humu jamiiforums, ardhi tapika kila ulichomezeshwa na waganga wakakifukia kwenye ardhi leo ardhi tapika"
witches-620x264.jpg
''Ardhi tapika waganga wote wa kule kijijini na matambiko yao yote yatapikwe watolewe na kuondoka kabisa atuwataki, majini na uchafu wote wa kichawi utapikwe utoke kabisa ndani ya ardhi.

Ardhi sikia watoe wote watapike wote wenye nia ovu kwenye ardhi ya mtaani kwangu mkono wa mungu upite, wachawi wote, waganga wote, washirikina wote wanaotesa kwenye mtaa wangu watapikwe wote, na matunguli yao, na ibada zao mbovu zote ardhi tapika, wasiwange tena.Ardhi tapika na maradhi yote ya kurithi tuliyotupiwa na yakafukiwa ili yatutese" amin.
witchcraft_by_eclipsy-d6ud3ll.jpg

​

Hii picha ya chini mwishoni ni jinn au
 
Sifungwi na dini mkuu ila naamini uwepo wake Mungu na kutokuwepo kabisa kwa shetani
Duh eti unaamini uwepo wa Mungu ila wa shetani hapana,unasoma vitabu vya dini?unadhani shetani anafanyaje kazi kama sio kwa style km hizi uchawi ukiwemo?
 
Somo zuri sana lakin sio wote watakao kuelewa; ni somo ambalo mtu akilifuatilia litamvusha ng'ambo ya pil.

Mtu atakayelifuatilia atagundua mengi.

Shida tumefumbwa ufahamu tuna upofu wa rohoni na tunasikia lakini hatusikii.

Asante kwa somo.

Mungu akubariki
 
Sifungwi na dini mkuu ila naamini uwepo wake Mungu na kutokuwepo kabisa kwa shetani
Mimi naamini uwepo wa shetani na kwamba naye ni wa Mungu. Atatakaswa kama watakavyotakaswa watenda maovu wengine pale atakaposhindwa vita ya Armaggedon.

Otherwise.....
 
Kama huamini uchawi upo, basi kuna siku utaamini tu. Na kama utaamini ukiwa duniani utakapokufa utwaona wachawi wote wako kwenye ziwa liwakalo moto wakiteseka kwa matendo yao maovu waliyotenda hapa duniani.
 
Sadaka wanazo toa wachaw ni damu

Na sisi tuna sadaka ya Damu ya Yesu. 1corintho 5:7
asante kwa kuongezea mstari mzuri ubarikiwe sana...ni muhimu sasa kumrudia Muumba kwa maana kama alisha kutolea sadaka tunatakiwa tumlizishe kwa matendo mema
 
Kama huamini uchawi upo, basi kuna siku utaamini tu. Na kama utaamini ukiwa duniani utakapokufa utwaona wachawi wote wako kwenye ziwa liwakalo moto wakiteseka kwa matendo yao maovu waliyotenda hapa duniani.
uchawi upo...tena umetuzunguka hadi kwenye nyumba tunazo ishi tena hadi kwenye nyumba za ibada uchawi upo na inawezekana usiwe umeweka na waumini ila enzi na enzi uchawi huwa auharibiki kirahisi
 
Somo zuri sana lakin sio wote watakao kuelewa; ni somo ambalo mtu akilifuatilia litamvusha ng'ambo ya pil.

Mtu atakayelifuatilia atagundua mengi.

Shida tumefumbwa ufahamu tuna upofu wa rohoni na tunasikia lakini hatusikii.

Asante kwa somo.

Mungu akubariki
asante ubarikiwe pia
 
ARDHI imebeba siri nzito sana watu wa kale wanajua, kwenye ardhi kuna kila aina ya uchafu, ardhi imebeba asili ya kila kitu kilichopo katika uso wa dunia, waganga wakitaka kufanya matambiko wanaitumia hii hii ardhi kuficha mambo yao, wachawi wakitaka kumfunga mtu asiendelee pia huifadhi uchafu wao na sadaka zao katika ardhi. ni ajabu sana wachawi wanatoa sadaka huku wacha Mungu wakishindwa kabisa kutoa sadaka kwa ajili ya Mungu wao.
image-20160624-28349-11dq7w6.jpg

Wachawi ni watu wabaya sana huwezi amini akikuchukia anadiliki kutoa sadaka ili akuangamize wengine wanadiliki kutoa sadaka za wanyama, damu za wanyama na muda mwingine ata damu za binaadam uhusika, hiyo yote ili ammalize binaadam mwenzake...ardhi ingekuwa inasema ingeongea mengi sana ya siri...ingeongea jinsi inavyoficha vitu vya watu waovu...si ajabu mchawi akauzika mguu tena mguu wa mtu aliehai...Mtu anatembea kumbe mwili wake kuna sehemu umezikwa.
Figure-2-1200x719.jpg

Si nia yangu kuumbua wachawi ila mambo wachawi wanayo yazika ardhini ni makubwa sana, ni rahisi sana mchawi kuzika karatasi yenye majina yako yote tarehe yako ya KUZALIWA na siku yako ya KUFA. kama humjui Mungu mchawi akifukia hicho kikaratasi pindi tarehe itapofika aliyoiandika ya wewe kukuondoa ulimwenguni hutochomoka wala kifo hutokikimbia utakufa tuu labda uanze kumrudia Mungu ili kuvunja LAANA zote za wachawi wanazokuwekea ilikukumaliza.
vifaa+vya+ushirikina.jpg

Tumrudie Mungu uchawi ni kama kigonjwa kinachotumaliza kigonjwa ambacho tuna kipuuza ila
uchawi unatumaliza sana..tumrudie Mungu haswa ardhi inatapika. akili na mafanikio yetu yanafukiwa ardhi, mahusiano yetu hayadumu kumbe wachawi wameyazika ardhini, atua zetu njema zote zinafukiwa ardhini kila tunapoenda tunajikuta atufanikiwi kumbe waganda na wachawi wamefukia atua zetu ardhini.
na kikubwa kinachotumaliza kila wafanyacho waganga kinabaki kizazi hadi kizazi hivyo ni rahisi sana leo kuathiriwa na mambo waliyofungiwa mababu na mabibi zetu.
il_fullxfull.328835283.jpg

Kama wachawi wanaweza kutoa sadaka ili watumalize basi na sisi tumrudie Muumba wetu tena tujitahidi katika kutoa sadaka ili tujikomboe maana wachawi wanaweza wasikuroge wewe ila kumbuka kuwa toka enzi za mababu uchawi ulikuwepo hivyo inawezekana mababu zetu walilogwa enzi hizo mimi na wewe leo tukapata tabu ambayo waliwahi kuipata babu zetu. tabu ambayo babu zetu walishindwa kuikomboa au kuitoa. SADAKA ina siri nzito sana.
Alcantagram-witchcraft-1010823_291_400.jpg

Tunatembea barabarani kumbe kuna wachawi walitulaani kwa vifungo walilaani mababu zetu, walifunga ukoo mzima, leo kila tunachofanya akifanikiwi, kila ukianza kazi unafukuzwa, watu wanakuchuki bila sababu maalum. tufanyeni toba tuondoe kila kilichofukiwa kwenye ardhi ili kuzuia maendeleo yetu mimi eddy_mhando naanza kusema
​
''Ewe ardhi tapika kila kilichofukiwa kwa majina yangu tapika kila ulichokimeza, ardhi tapika mafanikio yangu, ardhi tapika baraka zangu, tapika kila laana waliyowekewa babu zangu na bibi zangu, ardhi tapika mafaniki ya ukoo wangu, ardhi tapika mafanikio ya marafiki zangu wote pamoja na mafanikio ya marafiki zangu wa humu jamiiforums, ardhi tapika kila ulichomezeshwa na waganga wakakifukia kwenye ardhi leo ardhi tapika"
witches-620x264.jpg
''Ardhi tapika waganga wote wa kule kijijini na matambiko yao yote yatapikwe watolewe na kuondoka kabisa atuwataki, majini na uchafu wote wa kichawi utapikwe utoke kabisa ndani ya ardhi.

Ardhi sikia watoe wote watapike wote wenye nia ovu kwenye ardhi ya mtaani kwangu mkono wa mungu upite, wachawi wote, waganga wote, washirikina wote wanaotesa kwenye mtaa wangu watapikwe wote, na matunguli yao, na ibada zao mbovu zote ardhi tapika, wasiwange tena.Ardhi tapika na maradhi yote ya kurithi tuliyotupiwa na yakafukiwa ili yatutese" amin.
witchcraft_by_eclipsy-d6ud3ll.jpg

​
POROJO TU
 
Back
Top Bottom