Ardhi imejaa inatapika matapishi ya damu

Ardhi imejaa inatapika matapishi ya damu

Kabisa mkuu,na tatizo wengi si moto wala si baridi,kwa hiyo hatunufaiki na MUNGU wala shetani na mwisho tunateseka duniani na mwisho tunaenda jehanum,
Tuombe na kutoa sadaka sana maana sadaka wanayoitoa wachawi ili kuangamiza maisha yetu ni kubwa mno.
 
Back
Top Bottom