Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,121
Acha kuilinganisha kozi ya MD na kozi nyingine. MD ni level nyingine kabisa.
MD ni Universal, Noble and Life Professional. Kwa uchunguzi wangu binafsi niligundua kuwa mtu aliyesoma MD ndio mtu mwenye kujikubali, kujiamini, kuaminiwa na kukubalika zaidi katika maisha ya kila siku kijamii. Na hii kitu ni dunia nzima.
Kwa kifupi sana MD ndio kozi pekee duniani ambayo ukiiisoma dunia nzima(Kuanzia kijijini kwako mpaka kimataifa) watakutambua na kukuheshimu. Ni kozi fulani hivi yenye heshima yake kwa vizazi vyote. Ndugu na jamaa wenye familia yenye Daktari huwa wana hali fulani hivi ya furaha na faraja ya kimaisha. It is Very automatically. Sijui ni kwanini?
Kuhusu ajira, nadhani ndio kozi pekee yenye nafuu ya kupata ajira katika sekta ya umma na binafsi kwa sasa. Na katika sekta ya umma, udaktari ndio kada yenye mshahara mkubwa kuliko kada zingine zote.
Kipato cha wasomi wa kada zote kwa hapa Tanzania kwa wastani ni cha kawaida, hata MD ni hivyo hivyo, hivyo suala la kufanikiwa zaidi lipo kibinafsi zaidi.
USHAURI WANGU.
Nenda kasome kozi ambayo itakufanya ufurahi na wanaokuzunguka wafurahi pia, ikiwepo mkeo, mmeo, watoto wako, wajukuu zako, wazazi wako na hata marafiki zako.