Arajiga Mechi ameshindwa kuimudu

Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
Yaani dakika ya 10 tu umeshskimbilia kuanzisha uzi wa malalamiko?
 
Nimeangalia dakika 5 tu za mchezo, ila nimeona kabisa hii mechi imemshinda na ameshindwa kumudu. Ni Ubabe tu na kutoa Macho kwa wachezaji ndio kitu anajua.
waletwe marefa waarabu mechi zote za YANGA!
hawa marefa wa kibongo hawawezi kumudu mechi za YANGA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…