WALIPOPIGWA ZILE 5 WALIFUNGWA MIGUU?Umebadilika. SI kuna uzi uliandika tucheze ili tuwafunge as if unaocheza nao wamefungwa miguu
Kama daby haitachezwa ntakukubalia ila kama itachezwa huyo ni ARAFA TU.Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans
Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama
Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University
Arafat ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nina Zanzibar na CEO wa PBZ bank, yaani ulisema connection serikalini au eti TFF watishie serikali anakaa anawacheka tu
Arafat Haji anashinda pale Kizimkazi anakula kiyoyozi uje umtishie na hao akina Karia na Kabudi
Arafat Alitoka kauli 1 baada ya Derby kuhairishwa Kwa HATUCHEZI
Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wanahaha kila siku vikao, Leo walikuwa na professor wa jalalani Bado Arafat Haji alivofika akakataa
TFF wamemuomba Eng Hersi lakini akawajibu huyu Mzanzibar ashakataa yaani hataki kusikia habari za kurudia derby
Eng Hersi Said amemuomba Arafat Haji alegeze msimamo ila Arafat Haji amegoma na anasema HATUCHEZI
Arafat Haji ndo Mzanzibar wa kweli akisema NO harusi nyuma
Moto unawaka na Karia alivojibu pumba, Sasa ndo akaongeza petrol kwenye kifuu
Heko! Kwako Arafat Haji, kiongozi mahiri kutoka Zanzibar
Unaifia Yanga ukweli
HATUCHEZI
Yanga bingwa
TutaonaHATUCHEZI
Upo sahihi, ile interview ya kwanza alifanya ndiyo iliyochochea zaidi huu mgogoro sababu mwanzo viongozi na wapenzi wa Yanga hawakuwa na hisia kali kama sasa. Siku za mwanzo kulikuwa na mchanganyiko wa utani na mpira lakini baada ya maneno yake makali hili suala limeshakuwa la hisia na chuki.Japo mpira wa kibongo umejaa upumbavu ila TFF ya Karia imejaa mavi kabisa.
Karia ni bonge moja la tatizo katika mpira wa nchi hii. Ni jitu moja lililojaa ubepari, visasi na misifia isiyokuwa na tija.
Yanga ni kubwaSema huu msimamo wenu ni mzuri sana, mkiwemo na nyinyi pia itawabadilisha kufanya mambo kiprofessional zaidi kama vile kuacha kupita geti lisilo rasmi ,kukubali logo ya mdhamini kama ilivyo, sababu TFF hapo walipo wana hasira na nyinyi kwa hiyo hawatakubali mambo yenu ya hovyo mnayofanya(ga).
Sasa kama hamchezi mnalilia Nini kila siku mnasema hamchezi 😂Yanga ni kubwa