Shaaban Ally Churi
New Member
- Sep 5, 2022
- 3
- 2
BANKING OPERATION OFFICER
kivipiAndaa simu ya ku google kiongozi
Kasema aptitude test mkuu.. 😂😂😂Soma issues zote zinazo husuku customer care bank products and services provided, and core value za bank husika, na jitahidi kupitia zile job responsibilities ya kitu unacho omba ni muhimu sana. All the best mungu akusimamie
Hi, na mimi nimetumiwa na hao TCB ila Hamna nachokijuaHabarini wadau
Nilikuwa naomba kujua ni yapi baadhi ya practice questions na answers, najianda na test ya TCB Bank jamani. Naombeni msaada
Toa wewe hizo hint kama unazijua umsaidie kijanaKasema aptitude test mkuu.. 😂😂😂
Duuuh hata Mimi nimeitwa kufanya hiyo testHabarini wadau
Nilikuwa naomba kujua ni yapi baadhi ya practice questions na answers, najianda na test ya TCB Bank jamani. Naombeni msaada
Google Tu mkuu. Kazi nahisi zilikuwa Bank operation officer kama sikoseiMm nimeitwa pia ingawa sikumbuki kazi niliomba lini, na tangazo lake lilikuwaj!!... mwenye msaada tafadhali asaidie...
Google Tu mkuu. Kazi nahisi zilikuwa Bank operation officer kama sikosei
Kwa mtu mzoefu na aptitude test TCB yakwenda kufanya tusaidiane kdg.Habarini wadau
Nilikuwa naomba kujua ni yapi baadhi ya practice questions na answers, najianda na test ya TCB Bank jamani. Naombeni msaada
Same here.Habarini wadau
Nilikuwa naomba kujua ni yapi baadhi ya practice questions na answers, najianda na test ya TCB Bank jamani. Naombeni msaada
Nimefanya aptitude test tcb mara moja... nilichojifunza, fanya online aptitude tests upate uzoefu ila usisahau kupitia madesa ya kazi husika maana sis yetu bhana watu tulijiandaa na aptitude kama za mitandaoni lakini maswali tuliyokuta kama mtu huna ABC za hyo kazi hutoboi.