Mkuu nina kitengo nipo tarehe za interview zinaingiliana na majukum ya kazini. Ingekuwa Niko free ningetimba.Mkuu ajira ni ngumu sana.. kama unaona unaweza kwenda nenda tu kafanye. Huwezi jua, na kama nafsi yako inasita basi acha, sisi tutakushauri tu lakini sema na moyo wako.
Asante ngoja tukapambane,nitaleta mrejesho hapaAll the best Mkuu
Nilifanikiwa kwenda maana Niko dar na pia eneo langu la kazi liko karibu ilikuwa balaa waliita watu 72,tulofanyaa ni kama 50Wakuu za masiku vipi walioenda kwenye interview watupe mrejesho.
π
Kiukweli nawaombea wote waliofanya usaili atakae fanikiwa kupata sawa....Nilifanikiwa kwenda maana Niko dar na pia eneo langu la kazi liko karibu ilikuwa balaa waliita watu 72,tulofanyaa ni kama 50
Maswali walibase kwa darasani kabisa
Section 3
1.java
2.python and data analysis
3.database(unapewa scenario unaandika query)
Multi choice ilikuwa 70% na maelezo 30% paper ilishibaa snaa kama umeshasau vile vya darasan aisee kuchomoka inakuwa changamoto
Safi mkuuMkuu nina kitengo nipo tarehe za interview zinaingiliana na majukum ya kazini. Ingekuwa Niko free ningetimba.
All the best watakaoenda