Mkuu wa majeshi hajasema chochote mpaka sasa, nafikiri ndio alitakiwa kuongelea kwani hili linamgusa kabisa yeye kama mkuu wa majeshi
Don't read too much kwamba labda kuna nguvu nyingine.. tatizo letu ni kuwa we always see things in isolations.. we don't see patterns!
Fikiria... tuliwaripotia juu ya Mkutano wa kule Uarabuni wa wahusika wa tuhuma mbalimbali kuhusu Dowans.. watu hao hao wakakutana Dar.. na hivi juzi wamekutana Monduli.. tatizo tunafikiri all are just isolated incidents!
Masuala ya Mwananchi Gold, Deep Green, EPA, meremeta, Minara miwili, Tangold yote yameunganika.. sisi tunayaangalia utadhani ni jambo moja moja (mtindo uliotumika katika yote ni ule ule na kundi la watu ni wale wale)!
Hili la mabomu wengine wanashtuka leo, wakati wengine tumeligusa huko nyuma na tumelifuatilia kwa ukaribu kwa sababu lilikuwa linasubiri kutokea. Tulionya tukaambiwa "tunaombea mabaya yatokee ili tupate cha kusema!".. well tuna kumbukumbu fupi sana.
... kuna makombora mengine yanaweza kulipuka na kwenda umbali wa KM hadi 21 tunazungumzia Dar nzima wajameni.
... Nawashauri watu tusilale majumbani mwetu kwa usiku wa leo
Mwanakijiji,
Whether this is by design or "accident" (yeah right, if you don't fix your car's brakes and get into a crash, is that an accident or just a result of negligence?).. so whether it is by design or a negligence induced "accident", it points to the fact that you can't run a country on autopilot, pillage and plunder resources, appoint incompentent nincompoops, disregard social and emergency services and expect everything to run fine.
It is against the laws of physics, let alone the artful political science.
Sooner or later the entropy steaming up in that closed system is bound to explode like Mbagala. My fear is the outcome could be even worse.
We really operate like only the very best of scenarios will unfold, never preparing for disasters and making contingency plans. Why have civilian houses and a school for god's sake, so near the armoury? Why nobody was on top of the safe destruction of the supposedly expired ammunitions?
And then to think that the Nchimbis of Tanzania are the ones who have been on top of this, and are still in place to roll out whatever logistics needed, you begin to wonder why are people wondering? The only thing I am wondering is why something like this or of a far greater magnitude did not happen earlier.
We are living by the grace of nature -or god if you believe- but apparently even mother nature's laws of tolerant entropy or god's grace, is running out.
Kikwete clean up your house, next thing you know the blast will be at Magogoni.
Tunashukuru kwa Taarifa Boss.Kwa wale mlio Dar,
Kutakuwa na milipuko flani mnaisikia. Ni mabomu ambayo yanalipuka eneo la kambi ya Jeshi Zakhem - Mbagala.
Hii inaweza kupelekea mitikisiko isiyotarajiwa.
Nimefahamishwa ili nitoe tahadhari hii mapema. Nini kinaenedelea? Tutafahamishana
Jamani hili jamaa ni liongo la kutupa na tapeli kabisa.nimekwenda muhimbili wodi ya MOI.ni kwamba wamepokea wagonjwa 17 tu wa mbagara ambapo 5 wameruhusiwa...wadada 3 wako mwaisela wodi namba 2 wamewekewa pop kwa kuwa wamevunjika miguu wakati wakikimbia.wanne wameshunwa kwa kuwa walichanika kwenye mikono.binti mmoja wa miaka kama 15 amepoteza fahamu kwamshtuko na wawili wana sikia maumivu kwa ajili ya mshtuko.Kabisa kaka kwa macho....,yangu...jamani na kibaya zaidi wanaletwa kwenye ma pickup wamejazwa kama magunia na muhimbili wamewapanga foleni....inasikitisha sana na cha kuumiza wengine wako na dripu wakiwa kwenye pick up.....
Kuna watu wamesma kuwa kwa nini naibu waziri atoetaaRifa na wakati wataalamu wa jeshi wapo.ningependa kuwaambia hio taarifa kwa uelewa wangu huwa hazitoki kichwani kwa waziri bali anatumiwa na jeshi kuitoa na yeye anakuwa na dhamana tu ya kuwasilishana kwa wananchi