UKAWA mna uzoefu wa kuungwa mkono na vyama ambavyo mwenyekiti wa chama husika ndie mwanachama pekee hai wa chama husika.
Mlianza na Makaidi,sasa mko na Mziray na huyo wa CHAUMA.Haya weee!!!!!
CCM MBE MBELE KWA MBELE UKAWA MTAISOMA NAMBA
..kwa kuwaunga mkono cdm ktk nafasi ya uraisi appt na chauma wametoa mwelekeo mzuri kwa siasa zetu za tz.
..ingependeza kama ccm nao wangeungwa mkono waziwazi na vyama vingine vidogo.
..mimi nadhani huu ni mwelekeo mpya, wa kisasa, unaoendana na siasa za kimataifa.
cc ocampo four, Ritz, ZeMarcopolo, Kasheshe, Mkandara, Nguruvi3
UKAWA mna uzoefu wa kuungwa mkono na vyama ambavyo mwenyekiti wa chama husika ndie mwanachama pekee hai wa chama husika.
Mlianza na Makaidi,sasa mko na Mziray na huyo wa CHAUMA.Haya weee!!!!!
CCM MBE MBELE KWA MBELE UKAWA MTAISOMA NAMBA
UKAWA mna uzoefu wa kuungwa mkono na vyama ambavyo mwenyekiti wa chama husika ndie mwanachama pekee hai wa chama husika.
Mlianza na Makaidi,sasa mko na Mziray na huyo wa CHAUMA.Haya weee!!!!!
CCM MBE MBELE KWA MBELE UKAWA MTAISOMA NAMBA
CCM ni ile ile oooh ni ile ile.UKAWA mna uzoefu wa kuungwa mkono na vyama ambavyo mwenyekiti wa chama husika ndie mwanachama pekee hai wa chama husika.
Mlianza na Makaidi,sasa mko na Mziray na huyo wa CHAUMA.Haya weee!!!!!
CCM MBE MBELE KWA MBELE UKAWA MTAISOMA NAMBA
Hapo kwenyewe una shida lukuki huna ela, maisha ya taabu then bado unaishabikia CCM inayowanufaisha zaidi Mama Salma na Rizone....
Nilishangaa kumuona Mrema wa TLP katika msafara wa EL kuelekea kwenye mazishi ya mzee Kisumo. Nadhani amesoma alama fulani hivi
Hivi kile chama cha Mrema kimetoa msimamo wowote katika uchaguzi huu, mara ya mwisho walimuunga mkono mgombea wa CCM kwenye urais.Nafikiri ni chama cha ACT pekee ambacho ni tawi la CCM ndiyo kitakachobaki na mgombea wa Urais kwa nia ya kupunguza kura za CHADEMA na kuipa faida CCM.
Kumuunga mkono rais hujaunga mkono UKAWA kama utasimamisha wagombea wako katika majimbo ya UKAWA..Mimi nilidhani hoja kubwa ya UKAWA ni kushinda Wabunge lakini kama ndivyo ilivyo watakosa kote maana Edo sio UKAWA na hatakuwa UKAWA kwa sababu UKAWA sio chama ni ushirikiano, hivyo wamo hata watu wa CCM. Kifupi CCM nayo imeingia UKAWA dhidi ya nani sijui?..kwa kuwaunga mkono cdm ktk nafasi ya uraisi appt na chauma wametoa mwelekeo mzuri kwa siasa zetu za tz.
..ingependeza kama ccm nao wangeungwa mkono waziwazi na vyama vingine vidogo.
..mimi nadhani huu ni mwelekeo mpya, wa kisasa, unaoendana na siasa za kimataifa.
cc ocampo four, Ritz, ZeMarcopolo, Kasheshe, Mkandara, Nguruvi3
Hii ni habari nzuri saana, najua magamba hayapati usingizi mnono. Kuna wanaoogopa hatima yao kisiasa ikiwa serikali ijayo ni mbadala wa CCM.
Na bado...hakuna namna yoyote ambayo CCM itapona........................natabiri.................CCM itamuhonga UPDP na vyama vilivyosalia ili wamuunge mkono magufuli...lakini hata hivo nguvu ya Ukawa Ni Kubwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......................sisi adui yetu ni CCM yoteeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kumuunga mkono rais hujaunga mkono UKAWA kama utasimamisha wagombea wako katika majimbo ya UKAWA..Mimi nilidhani hoja kubwa ya UKAWA ni kushinda Wabunge lakini kama ndivyo ilivyo watakosa kote maana Edo sio UKAWA na hatakuwa UKAWA kwa sababu UKAWA sio chama ni ushirikiano, hivyo wamo hata watu wa CCM. Kifupi CCM nayo imeingia UKAWA dhidi ya nani sijui?
Mkuu Mabaradhuli ni hawa mnaowapokea mkidhani wanaume kumbe mashoga tu..Mtandao ni zaidi ya fikra zenu na mnachoshangilia mimi sikioni kabisa kwa sababu Lowassa hawezi kuwa Chadema ikiwa Chadema ndio wamemfuata! hakuna mtu alowahi kujiunga na CDM kwa kuombwa yeye ajiunge na kuahidiwa nafasi kama ile.. CDM needed Edo sio kinyume. Lowassa ni Mbwa mwitu alovaa ngozi ya kondoo akiwa ndani ya zizi la kondoo ama niseme hivi Lowassa ni sawa na Chatu, mbwa humfuata wenyewe na wakabanwa mbavu na kumezwa, wewe na mimi hatutaijua sababu!...theoretically, YES.
..practically, NO.
..inachosha kuwa mpinzani kwa miaka 20+.
..inachosha zaidi kama chama tawala ni hawa mabaradhuli wa ccm.
..nakuhakikishia itakuwa ahueni sana kama ukawa watashinda.
Mkuu Mabaradhuli ni hawa mnaowapokea mkidhani wanaume kumbe mashoga tu..Mtandao ni zaidi ya fikra zenu na mnachoshangilia mimi sikioni kabisa kwa sababu Lowassa hawezi kuwa Chadema ikiwa Chadema ndio wamemfuata! hakuna mtu alowahi kujiunga na CDM kwa kuombwa yeye ajiunge na kuahidiwa nafasi kama ile.. CDM needed Edo sio kinyume. Lowassa ni Mbwa mwitu alovaa ngozi ya kondoo akiwa ndani ya zizi la kondoo ama niseme hivi Lowassa ni sawa na Chatu, mbwa humfuata wenyewe na wakabanwa mbavu na kumezwa, wewe na mimi hatutaijua sababu!.
Miaka 20+ sio swala la CCM kimaadili, hakuna mahala popote yameandikwa hayo waloyafanya kwa miaka hiyo isipokuwa wamegawanyika katika uchumia tumbo kutokana na mvutano wa kama katika kapu nla mvuvi. Kwa miaka zaidi ya 30 walikuwa wote hawa maskini kama sisi wakizeeka na umaskini wao. Toka Mwinyi hadi JK agenda ni swala la watu hao kutokana na Umaskini, kila mmoja wao kachuma kwa wakati wake na hata walipotoka tamaa za utajiri zaidi zikawashika wakaanza kuumizana wenyewe. Hii ni vita baina ya Fisi na Simba, wewe nyumbu unafurahia nini na kusema bora ya Fisi kuliko Simba?
Mkuu tafadhali! hawa jamaa kumuunga mkono ama kumvhagua Lowassa wana maana ya kwamba kama CCM ingempitisha Lowassa basi wao wasingekuwa na pingamizi maana ndiye wanayetegemea kuleta mageuzi, sasa tujiulize ni mageuzi gani hayo? Na hawa CHAUMA wameonyesha wazi kwamba sio wamewaunga mkono UKAWA bali Lowassa na hivyo wangemuunga mkono hata kama angechaguliwa na CCM. Ndivyo kisiasa inavyotafsirika...sawa.
..lakini this time ccm lazima wapumzishwe.
..kama ni mtandao, sijui kitu gani, wacha tujaribu na chadema nao tuone uzuri au ubaya wao.