Apps ya Kutambua majina ya Wenye Simu

Apps ya Kutambua majina ya Wenye Simu

IshaLubuva

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2008
Posts
250
Reaction score
12
Salamu wana JF.

Mini natumia simu ya Tecno P5. Naomba mwenye kufahamu application ambayo itaniwezesha kung'amua majina ya wenye simu simu wanaonipigia ambao sijawaandika majina yao kwenye simu yangu, tafadhal.
 
Kung'amua ndo nn?
 
Yenyewe ukipigiwa simu inaanza kutafuta nchi simu inakotokeani i.e. USA, baada ya kupata itakwambia simu inatoka usa.kuhusu jina bado sijaona ikiandika jina la mpiga simu
 
kanunue samsung galaxies zinaizoapplications cha msingi ujue jinc ya kuiactivate tu na pia utalazimika kuweka gps yako on most of the time
 
Back
Top Bottom