Apps nzuri za Tanzania kwa ajili ya Mtanzania, Zilizotengenezwa na Watanzania

App imeboreshwa
Sasa unaweza kusikiliza sauti za kitabu kizima cha Biblia hata kama app itakua imefungwa. (Listen in the background)

Pia unaweza kupakua (Download) sauti za kitabu kizima na baada ya kupakua unaweza kusikiliza muda wowote bila intaneti.

Ingia playstore na tafuta "Biblia Takatifu na Sauti" ili kuipakua app hii, au bofya kiungo hiki Biblia Takatifu na Sauti - Swahili audio Bible - Apps on Google PlayView attachment 1550311View attachment 1550312

Sent from my Nexus 5X using JamiiForums mobile app
 
Asante kww mrejesho nitajitahidi niyapunguze. Ila ndyo wanawezesha kuendelea kutengeneza app. Pia unaweza ukalipia ili kuondoa matangazo kabisa
Badala ya kuweka matangazo nadhani ungeitumia kutangaza service zako. Mfano unaweza kuweka contacts zako na link ya mtu akihitaji app yako kwenye startup na labda kila baada ya wiki ukifungua ina popup. Hii nadhani itakupeleka mbali. App yako inapendwa kwa sababu haikuwa na matangazo. Else utapoteza watumiaji wengi sana.

Pia search ya text ungeiweka pale juu, kwenye action bar. Most of us tunatafuta sana text kuliko vitabu. Vitabu ni rahisi ku scroll.
 
Asante kwa ushauri utafanyiwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…