Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,652
Acha uchawi wewe mambo gani hayo unaleta hapa.. hata kama ni kutoka misungwi ndani huko jitahidi kuangalia unachopost...Wakuu nitajieni apps nzuri kwa mwanafunzi ili nizipakue
Pia nitajieni vifaa muhimu vya stationery nikanunue ikiwemo aina ya peni nzuri ,penseli ,highlighters na vitu vingine muhimu vya stationery
aya zitaje apps nzuri muhimu kwa mwanafunzi niende playstore nikazipakue ukishindwa nitakuona bonge la falaAcha uchawi wewe mambo gani hayo unaleta hapa.. hata kama ni kutoka misungwi ndani huko jitahidi kuangalia unachopost...
utafiti uko sawa kabisa hapa...
> website ya kudownload ebooks libgen.io
> nunua scientific calculator
> peni nzuri ni NATARAJ 0.7 mm
> penseli nzuri ni NATARAJ black and red stripes
> meza ya kusomea 60000 kiti chake 25000 vipo pale lufungila
> nunua laptop kwa ajili ya assignment kuandaa ripoti na kujisomea
> kama unapenda mpira nunua njumu kama unapenda basket nunua snickers, uskae kizembe mazoezi muhimu
> pia kama mwanafunzi lazima simu yako iwe na app ya dictionary
> nunua smartphone kwa ajili ya kugugo maswali yatayowashinda kwenye group discussion.
mkuu kama kitu hukijui first of all unacreate assumptionanaenda kusoma nini? level gani?
Ukute mwenzio anajiandaa kuingia form one wewe unamwambia scientific calculator na libgen!!!
mkuu kama kitu hukijui first of all unacreate assumption
> watu wameashum there's God
> Economics is full of assumptions
> level ya elimu ya huyu mtoa mada siijui so nimeassume yupo level niliyopo mimi.
Kumbe ni HR666Wakuu nitajieni apps nzuri kwa mwanafunzi ili nizipakue
Pia nitajieni vifaa muhimu vya stationery nikanunue ikiwemo aina ya peni nzuri ,penseli ,highlighters na vitu vingine muhimu vya stationery
Maana nimesikia zipo penseli mpaka za elfu 20 sasa ndo nataka nifahamu vitu kama hivi
hilo la mwandiko asisahau na la vyumbavyumba la hesabu muhimu pamoja na lisilo na mistari yoyote jeupe la sanaaa(kuchora)Nunua dftar LA mistar midogo na mikubwa
kwan thread mbovu mkuu?dah nkajua bonge ya thread ndani nvoona nkasema jamaa hr66 umebadilika kumbe dah....
Acha uchawi wewe mambo gani hayo unaleta hapa.. hata kama ni kutoka misungwi ndani huko jitahidi kuangalia unachopost...
utafiti uko sawa kabisa hapa...
Unauliza jibu?kwan thread mbovu mkuu?
THL ndio suluhisho kuu kwa wanafunzi na ukikwama hapo jaribu maktaba teteahamna anayejua chochote humu?