Hansy wa East JF-Expert Member Jul 8, 2012 447 230 Aug 30, 2012 #1 Wakuu napenda kutambua mchango wenu kwa wanajamvi. Binafsi naomba nisaidiwe jinsi ya kufungua pdf files kwa ku2mia nokia C3 00. Ntashukuru kwa mchango wenu.
Wakuu napenda kutambua mchango wenu kwa wanajamvi. Binafsi naomba nisaidiwe jinsi ya kufungua pdf files kwa ku2mia nokia C3 00. Ntashukuru kwa mchango wenu.
Mugizi1 JF-Expert Member Jun 11, 2011 478 142 Aug 31, 2012 #2 download s40 reader ndo size ya simu yako katakusaidia kufungua pdf files ingawa kamekaa kilocal sana.
download s40 reader ndo size ya simu yako katakusaidia kufungua pdf files ingawa kamekaa kilocal sana.
Hansy wa East JF-Expert Member Jul 8, 2012 447 230 Aug 31, 2012 Thread starter #3 wijei said: download s40 reader ndo size ya simu yako katakusaidia kufungua pdf files ingawa kamekaa kilocal sana. Click to expand... nashukuru ndg.
wijei said: download s40 reader ndo size ya simu yako katakusaidia kufungua pdf files ingawa kamekaa kilocal sana. Click to expand... nashukuru ndg.
Geezzle JF-Expert Member Jul 25, 2012 849 267 Aug 31, 2012 #4 Kaka saidia,nokia 5130c-2,xpres music,ntawezaje fungua pdf files?