Dunia inabadilika, siku hizi kuna kazi nje ya research na kufundisha ambazo zinahitaji PhD, ingawa ni kweli kwa muda mrefu PhD ilitumika zaidi kwa wale wanao kwenda kufundisha vyuo vikuu na research especially USA. Ni kitu cha muhimu pia kama inabidi ujilipie mwenyewe au kutumia mkopo-PhD kwa wengi inakuwa not cost effective nje ya research na kufundisha.Kwa watu wanaoielewa Ph.D, kama hutaki kufundisha au kwenda kwenye a very specialized research field, Ph.D ni kutafuta ujiko tu.
Hahahaha, umenichekesha sana eti watu watano majina yanafanana.Huku kwetu tuna shida sijui ni ulimbukeni... Waalimu wa nje huwa hawataki hata kidogo kuwa adressed by the titles kama Prof au Dr.. hayo utayaona tu atakapokuwa ameandika academic work au publication.. Kuna kipindi maprof wa Sua pale walienda kuintroduce mradi huko mgeta, wako kama watano kila mmoja anajitambulisha naitwa Profesa fulani.. wakulima wakashangaa na kuuliza inakuwaje watu watano wote majina yenu yanafanana?
Naomba nisepe kwa kukueleza kuwa nenda darasani ukapate PhD. Madarasa hayakujengwa kwa ajili ya mijisi. Ukipata PhD utamuunga mkona JPM maana utakuwa umejikomboa. Hivi unadhani Marekani hatuijui au hatujawahi kukaa? Hata kama unakaa mawinguni kama uwezo wa kusoma unao pata PhD achana na sie ambao tumemaliza la saba ni dhiki tu na ukilaza na siye tungepata hizo PhD. NasepaKwanza kabisa unaonekana kukosa maarifa kwa kulinganisha moja kwa moja Ph.D na usomi.
Pili unafanya psychological projection.
Unafikiri kwa sababu wewe una tabia ya wivu, kika mtu ana wivu.
Mimi naishi Marekani.
Mwalimu Ph.Ds ni walimu wa vyuo vikuu.
Walimu wa vyuo vikuu wanaliowa mishahara midogo sana na hawathaminiwi kama huko nchi ambazo elimu ya darasani ni ngeni bado.
Ukiongelea kumuonea wivu mtu kwa sababu ya Ph.D unajionyesha ulimbukeni wako wa kuiweka juu Ph.D.
Nimeipenda hii lakini Tz inakwendana na UK na kama sikosei huwa wanakuwa very formal-Profesa ni profesa. Nisichoelewa ni hatamtu akiacha kufundisha chuo bado anang'ang'ania aitwe profesa.Huku kwetu tuna shida sijui ni ulimbukeni... Waalimu wa nje huwa hawataki hata kidogo kuwa adressed by the titles kama Prof au Dr.. hayo utayaona tu atakapokuwa ameandika academic work au publication.. Kuna kipindi maprof wa Sua pale walienda kuintroduce mradi huko mgeta, wako kama watano kila mmoja anajitambulisha naitwa Profesa fulani.. wakulima wakashangaa na kuuliza inakuwaje watu watano wote majina yenu yanafanana?
Wewe ni limbukeni. Unaona Ph.D ni kitu cha ajabu kwa sababu kwenu hamna.Naomba nisepe kwa kukueleza kuwa nenda darasani ukapate PhD. Madarasa hayakujengwa kwa ajili ya mijisi. Ukipata PhD utamuunga mkona JPM maana utakuwa umejikomboa. Hivi unadhani Marekani hatuijui au hatujawahi kukaa? Hata kama unakaa mawinguni kama uwezo wa kusoma unao pata PhD achana na sie ambao tumemaliza la saba ni dhiki tu na ukilaza na siye tungepata hizo PhD. Nasepa
Sio kila kazi inahitaji PhD. Hivyo kama taifa mnaweza kuwa mnapoteza resources kwa kupata elimu ambayo hamuihitaji. Ingawapo kihalisia haitatokea kuwa kila mwenye uwezo ataenda kusoma PHD kuna mambo mengine ya kufanya na hayahitaji PhD.Hata kama unakaa mawinguni kama uwezo wa kusoma unao pata PhD achana na sie ambao tumemaliza la saba ni dhiki tu na ukilaza na siye tungepata hizo PhD. Nasepa
Huyu hajitambui hata kidogo. Unapoteza muda bure mkuu Al-WatanDunia inabadilika, siku hizi kuna kazi nje ya research na kufundisha ambazo zinahitaji PhD, ingawa ni kweli kwa muda mrefu PhD ilitumika zaidi kwa wale wanao kwenda kufundisha vyuo vikuu na research especially USA. Ni kitu cha muhimu pia kama inabidi ujilipie mwenyewe au kutumia mkopo-PhD kwa wengi inakuwa not cost effective nje ya research na kufundisha.
Inawezekana tunazo kaka; lakini nasisitiza ni vyema mtu akawa nayo inaongeza wigo na opportunities katika maisha. Tusiwe kama zamani wafanyabiashara waliona elimu si chochote. Kuna mifano mingi kama akina Joyce Kiria na akina lugumi kama shule zingekuwa zimepanda wangalikuwa mabli kakaSio kila kazi inahitaji PhD. Hivyo kama taifa mnaweza kuwa mnapoteza resources kwa kupata elimu ambayo hamuihitaji. Ingawapo kihalisia haitatokea kuwa kila mwenye uwezo ataenda kusoma PHD kuna mambo mengine ya kufanya na hayahitaji PhD.
Elimu zaidi ingesaidia lakini kwa yale wafanyayo jiulize ni kweli wanahitaji PhD? Sidhani.Inawezekana tunazo kaka; lakini nasisitiza ni vyema mtu akawa nayo inaongeza wigo na opportunities katika maisha. Tusiwe kama zamani wafanyabiashara waliona elimu si chochote. Kuna mifano mingi kama akina Joyce Kiria na akina lugumi kama shule zingekuwa zimepanda wangalikuwa mabli kaka