Appreciation post kwa Ndg. Humphrey Polepole

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,679
Reaction score
9,839
FB_IMG_1759184500529.jpg

Hii ni post yangu ya ku -appreciate movement zako unazofanya kuhusu taifa letu.

Polepole anaipenda Tanzania.
Polepole anaipigania Tanzania.
Polepole sio mwizi.
Polepole sio mroho wa madaraka.
Polepole ana nia njema na ya dhati kwa Tanzania.

Nilipoona damu yako inachuruzika kwa ajili ya Tanzania roho imeniuma sana mpaka sasa sijapona.

System ina watu wenye roho mbaya sana.

Nakukubali na mimi ni shuhuda namba moja kwamba watanzania wanakupenda na wanakuamini.

True son of Tanganyika.

Ulichagua kufia kwenye ardhi ya nyumbani.

Gen Z presidential material.

Tunakuombea urejee salama maana hakuna tunachoweza kufanya kwa sasa zaidi ya kukuombea heri huko ulipo.

Nakuona soon jumba jeupe pale kwenye kiti ukiapisha mawaziri na wakubwa wa kazi wengine.

Na walio na wewe wakufikishie huu ujumbe, kuwa kuna mhuni hapa Sinza anakukubali sana.

Ipo siku inakuja tutalipa hiki kisasi. Na hatutokaa tusikilize nyenyeenyee ya mtu yoyote anaejifanya muhimu kwenye taifa hili.

Kama unamkubali Polepole bonyeza kitufe cha like.
 
View attachment 3484789

Sawa kabisa. Katika mapambano yo yote, ajali hazikosekani. Mungu atatutuza ushindi tu siku za usoni. Mapambano yaendelee.
 
Polepole alikuwa anawaletea taarifa jinsi nchi ilivyoharibika katika kila eneo. Akiiomba serikali ya Samia kutafuta muafaka wa kitaifa, maelewano, maridhiano ya wananchi wote kabla ya uchaguzi, ili kurudisha taifa kwenye mstari, tusidumbukie kwenye machafuko.

Polepole anapigania Haki, uwajibikaji, utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, maisha bora kwa kila Mtanzania, anapinga ufisadi mkubwa unaondelea sasa hivi Tanzania.

Yoyote anayepigania haki, uwajibikaji Tanzania bora nakubali harakati zake.
 
Exactly, Polepole ni mtu mwema mwenye mapenzi na nchi yake lazima tupige kelele wamrudishe.
 
He believed his God would protect him.

Apparently this belief was not factual.
The good news is he’s still alive. Only God could keep someone breathing after losing that much blood without any emergency help.
 
Huyo Mungu mpaka leo hujaweza kuthibitisha yupo.

Na hata Polepole hujui kuwa yuko hai.

Kifupi yote mawili uliyosema huwezi kuthibitisha.
 
Mungu yupo haiitaji uthibitisho wa kibinadamu.

Wewe unamchukia Mungu sababu umeumbwa na ulemavu, lakini pumzi aliyokujalia tena ya bure uoitazami. Huko ni kukosa shukrani.
 
Thibitisha Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom