Crocodiletooth JF-Expert Member Oct 28, 2012 18,653 20,987 Dec 19, 2013 #1 apollo hospital ya india inatarajiwa kufungua tawi lao tanzania kutokana na makubaliano yaliyofanywa kati ya uongozi wa hospitali hiyo na tanzania,ufunguzi huo unatarajiwa kufanyika ndani ya miezi minne toka sasa,more news;-NewsNow: Loading story...
apollo hospital ya india inatarajiwa kufungua tawi lao tanzania kutokana na makubaliano yaliyofanywa kati ya uongozi wa hospitali hiyo na tanzania,ufunguzi huo unatarajiwa kufanyika ndani ya miezi minne toka sasa,more news;-NewsNow: Loading story...
Bornvilla JF-Expert Member Feb 17, 2011 924 271 Dec 20, 2013 #2 Poa tu! kwani hili itatupunguzia gharama za kwenda India.
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,557 Dec 20, 2013 #3 Bornvilla said: Poa tu! kwani hili itatupunguzia gharama za kwenda India. Click to expand... hapana mkuu ila ukizidiwa utaenda tu india hapa ni kama mapokezi vile..
Bornvilla said: Poa tu! kwani hili itatupunguzia gharama za kwenda India. Click to expand... hapana mkuu ila ukizidiwa utaenda tu india hapa ni kama mapokezi vile..
foshizzle JF-Expert Member Dec 4, 2013 374 147 Dec 20, 2013 #4 Kuna hospital ya appolo naiona pale kisutu. Au ndo hiyo?